Naomba ushauri, namna ya kutenganisha mapenzi na biashara

Apr 16, 2020
18
26
Ningependa tubadilishane mawazo, ushauri na uzoefu kwa sisi wajasiriamali na wafanyabishara jinsi ya ku balance biashara na mapenzi ili kutoweza kutoka katika barabara ya kutafuta mafanikio.

Hasa kutotoka katika njia ya biashara kwa kuharibiwa na mapenzi.

Naomba kaka, dada, mama na baba zetu mtupe muongozo sisi vijana ambao ndio tumeanza kujenga future zetu.

Asante.
 
Topic number one ktk kujifunza na kufanya biashara / ujasiriamali kiujumla. SEPARATE YOURSELF from your business. Sio tu mapenzi na biashara hata wewe as the business owner na biashara yako ni watu wawili tofauti!.
 
Ningependa tubadilishane mawazo, ushauri na uzoefu kwa sisi wajasiriamali na wafanyabishara jinsi ya ku balance biashara na mapenzi ili kutoweza kutoka katika barabara ya kutafuta mafanikio.

Hasa kutotoka katika njia ya biashara kwa kuharibiwa na mapenzi,

Naomba kaka,dada, mama na baba zetu mtupe muongozo sisi vijana ambao ndio tumeanza kujenga future zetu.

Asante.
Mkuu kuna mambo gani unayafany katika biashara yako, hadi kushtuka kuw inakubidi u balance..?
 
Hutakiwi kubalance ndugu, hivyo vitu haviingliani hata km akiwa mkeo
 
Huwa na wasaidia ndugu zetu wa mikoani kununua bidhaa za jumla kariakoo na kuwapelekea au kuwatumia kwenye basi kuna mdada nilimtumia mzigo kiuaminifu kabisa Hadi kilosa alivyoupata akaanza kunipa misifa kama ya jiwe.

Nilikuja kugundua shida yake ilikuwa nilewe misifa ya kujinga niwe na mtumia bidhaa bure tena ni hasa vidada vya saluni na vya chuo.
 
Topic number one ktk kujifunza na kufanya biashara / ujasiriamali kiujumla. SEPARATE YOURSELF from your business. Sio tu mapenzi na biashara hata wewe as the business owner na biashara yako ni watu wawili tofauti!.
Yes, treat your business as a SELF ENTITY
 
huwa na wasaidia ndugu zetu wa mikoani kununua bidhaa za jumla kariakoo na kuwapelekea au kuwatumia kwenye basi kuna mdada nilimtumia mzigo kiuaminifu kabisa Hadi kilosa alivyoupata akaanza kunipa misifa kama ya jiwe. Nilikuja kugundua shida yake ilikuwa nilewe misifa ya kujinga niwe na mtumia bidhaa bure tena ni hasa vidada vya saluni na vya chuo.
Pole na je ulikwepa huo mtego ama ulinasa na kuishia kumtumia bure huku ukilipia wewe kwenye hayo mabasi?😀😀 inaitwa nguvu ya penziii
 
Huwa na wasaidia ndugu zetu wa mikoani kununua bidhaa za jumla kariakoo na kuwapelekea au kuwatumia kwenye basi kuna mdada nilimtumia mzigo kiuaminifu kabisa Hadi kilosa alivyoupata akaanza kunipa misifa kama ya jiwe.

Nilikuja kugundua shida yake ilikuwa nilewe misifa ya kujinga niwe na mtumia bidhaa bure tena ni hasa vidada vya saluni na vya chuo.
alidhani atapata slope
 
Back
Top Bottom