Naomba ushauri: Naishi na mtoto wa mke wangu, wangu anaishi kwa bibi yake nashindwa kumchukua

mwambie mke wako unataka kwenda kumchukua mtoto mje muishi nae kama mnavyoishi na wa kwake!
Tatizo hawa wote wanaojibu aidha ni single mum au hawajawa na watoto; na kama wana watoto, hawana mixed.
Inaonesha wewe hujitambui Kwani huyo single mum hajui hali halisi ya mtoto wako huko kijijini? Anajua ila ubinafsi wake unamfanya aridhike wake afaidi ila wako apate shida. Hakuna mwanamke atakubali ales mtoto wa mke mwingine!

ushauri, lianzishe kuwa unataka kuwaleta hao mabinti zako (unless wewe ni Mario)! Kama si Mario utausikia muziki, akikubali utakuwa na kibarua cha kumchunga binti yako na manyanyaso ya mama wa kambo. Ukiona haliwezekani (iwapo wewe si Mario); mweleze yeye pia amhamishie kwa mama wa biological father wake. Kama wewe ni Mario huna ujanja ila fanya chuma ulete usaidie binti yako kwa mama yako.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom