Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,275
- 18,351
Wakuu habari zenu
Naomba kushauriwa kuhusu aina (brand)nzuri ya stabilizer (automatic voltage regulator) kwa ajili ya friji langu, friji langu limekua likizima umeme unapopungua nikadokezwa kununua stabilizer ila sikuambiwa aina (brand) nzuri kwa ajili ya kazi hiyo.
Endapo kuna fundi stabilizer/friji yupo Tanga tuwasiliane
Natanguliza shukrani