Naomba ushauri: Nahitaji kununua stabilizer

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,272
18,334
Wakuu habari zenu
Naomba kushauriwa kuhusu aina (brand)nzuri ya stabilizer (automatic voltage regulator) kwa ajili ya friji langu, friji langu limekua likizima umeme unapopungua nikadokezwa kununua stabilizer ila sikuambiwa aina (brand) nzuri kwa ajili ya kazi hiyo.

Endapo kuna fundi stabilizer/friji yupo Tanga tuwasiliane

Natanguliza shukrani
 
Safi. Ni vyema kuwa na hiyo kitu.
Mimi nina stabilizer 1 ya w500 ninayo inapiga kaz poa sana. Na umeme huwa unashuka hadi v110 lkn inaboost hadi 220.
Siikumbuki jina ngoja nifike home nikutumie picha
 
Nitashukuru sana mkuu
 
Safi. Ni vyema kuwa na hiyo kitu.
Mimi nina stabilizer 1 ya w500 ninayo inapiga kaz poa sana. Na umeme huwa unashuka hadi v110 lkn inaboost hadi 220.
Siikumbuki jina ngoja nifike home nikutumie picha
tokea 2016 mjomba haujatuma picha aaah aaah
 
Marshal
 
Attachments

  • 1515826790923857714141.jpg
    1515826790923857714141.jpg
    313 KB · Views: 98
Wakuu habari zenu
Naomba kushauriwa kuhusu aina (brand)nzuri ya stabilizer (automatic voltage regulator) kwa ajili ya friji langu, friji langu limekua likizima umeme unapopungua nikadokezwa kununua stabilizer ila sikuambiwa aina (brand) nzuri kwa ajili ya kazi hiyo.

Endapo kuna fundi stabilizer/friji yupo Tanga tuwasiliane

Natanguliza shukrani

Hiyo mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom