Naomba ushauri nahitaji kufungua duka mkoa wa Njombe

Mfugajihodarisana

New Member
Jul 13, 2021
2
1
Habari wapendwa,

Samahani naombeni kufahamu kama nitaweza kufungua duka la mifugo mkoani Njombe wilaya yeyote ile ila napenda zaidi iwe katika mkoa wa Njombe:

1. Je, Kuna wafugaji wa kutosha mkoani hapo?

2. Idadi kibwa ya vyakula wanatengeneza wenyewe au wanatumia vya kiwandani?

3. Kuna idadi kubwa ya maduka katika mkoa huo?

Naombeni mwongozo katika hayo.

Nashukuruni sana.
 
Tembelea au mlipe mtu. Akufanyie utafiti vitongoji vyote. Ila mkoa wa njombe bado upo nyuma kwa mambo mengi.

Nakushauri bidhaa za kilimo zinafanya vizuri zaidi kwa sababu huo ni mkoa wa wakulima si wafugaji kivile.

Kilimo kule kinafanyika muda wote si kiangazi wala masika.
 
Back
Top Bottom