mkosa yote
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 494
- 1,053
Umesahau kumshauri wakati anakunywa inabidi awe karibu na choo.Hiyo mixer acha kabisa.Tatizo la kufunga Choo .....
tafuta ukwaju, loweka au chemsha, kamua utoe mbegu zake, hakikisha unakamua juisi yote ile nzito kabisa kisha kunywa ile juisi yake kila siku angalau mara tatu Kwa kutwa na iwe concentrated haswa ....Choo utakipata laini kabisa bila tatizo.
Au ukwaju juisi mix na tende juisi ( unatoa mbegu kisha unaloweka na unasaga kwenye blender), mix na papai bivu saga changanya vyote vitatu uwe unakunywa smoothie yake daily, tatizo la kukosa Choo utalisikia Kwa Jirani...kisha tuletee mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app