babyyuxuph
Member
- Jun 13, 2017
- 80
- 34
Habari zenu wana jf,
Napenda kuomba ushauri kwa yeyote aliye wahi soma au kuishi nchini Uganda kwani nahitaji kwenda kujiunga na chuo kikuu mwakani. Yaani namaanisha details namna ya kuapply chuo pamoja na gharama za maisha tofauti na ada hususani katika jiji la kampala kwani ndipo napo nahitaji kwenda kwenda .
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app