Naomba Ushauri; Mpenzi wangu hanitafuti mpaka mimi nimtafute kwanza

Sababu wewe ni play boy..so anakujaga kucheza tu na kuondoka...akikumbuka komborela atakuja tena usijali
 
Sasa mtu mwenyewe uko darasa la ngapi sjui na hata hela ya vocha hadi upige kizinga nyumban ndio na we umpe unategemea utakupgia kwa vocha ipi.. cha msingi soma kwanza bwna mdogo haya mambo yapo tu
 
Unampatiaga hela ya vocha??? Wanawake tuna njia nyingi za kuomba hela,,,anataka ujiongeze uwe unampa hela
 
Nipo kwenye mahusiano na msichana moja ambae tunasoma darasa moja, ila sijui kama ananipenda kweli? Maana hanipigii simu wala SMS, mpaka nimtafute mm, ila nikiwa nae ananionesha upendo wa hali ya juu
Upo darasa la ngapi kijana, soma kwanza
 
Nipo kwenye mahusiano na msichana moja ambae tunasoma darasa moja, ila sijui kama ananipenda kweli? Maana hanipigii simu wala SMS, mpaka nimtafute mm, ila nikiwa nae ananionesha upendo wa hali ya juu
umr wako ni miaka mingapi?? na wa mpnz wako,, kabla cjashauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom