fasi dwasi
R I P
- Sep 23, 2018
- 105
- 98
Af pia mtalamu naomba some case number 23 huyu af nisaidie maelezo kdg khs huyu mama yetu ambye aliishia 2016 baada y kuanza kutumia ARVs miaka kadhaa iliyopita
Soma mwenyewe af njoo na jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma mwenyewe af njoo na jambo
Mtaalamu hapa naomba niulize jambo...
Umetoa ushauri wa kitaalamu sana lkn mwisho wa siku umekuja kuishia na swala la kumshauri huyo dada atumie ARVs na mimi hapa nakuaga na maswali mengi sana ambyo cyo yanatokana na nimesoma wap au kuskia ni kutokana na experience ya kuona kwa macho yangu kabsa kwa zaid y watu wa4..
Sent using Jamii Forums mobile app