Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Hapo kuna njia mbili....

1.Tafuta wataalamu wa kumaliza kesi kwa kivyovyote vile.... au

2. Fanya maarifa aondoke hapo nyumbani kwako maana ndiyo kunampa free ride .... Weka mwanasheria akusimamie- ili isiwe lazima wewe kupuyanga mahakamani daily, hlf ongea na hakimu na muendesha mashitaka vizuri hiyo kesi iwe inapigwa kalenda tu ( apuyange kwenda mahakamani kwa miaka kadhaa mpaka apauke na believe me hata wanaomsupport watamkimbia).

Narudia tena ,kwenye maisha kuna kipindi inahitajika undava undava brother.
Nimekuelewa Bro,

Lakini hapo no 1 unamaanisha wataalaam gani?

Na namba 2 hapo ni pagumu, tunaweza kuuana, ingekuwa rahisi kama full time ningekuwa nakaa, pale, na kumbuka kuna watoto pale vilevile,

Nadhani tulipofikia hapa, njia ya mahakama ni bora zaidi,

Sasa hivi nasubiri nini itakuwa maamuzi ya mahakama, maamuzi yakiwa tofauti nitakata rufaa na huko ndio nitaweka wanasheria,

Lakini la muhimu naomba mnisaidie hapa, kama mgawanyo utakuwepo, unadhani percent ngapi kwa ngapi inaweza kunifanya niridhike, hili ni muhimu ndio litakaloamua kama kesi iishie palepale au nisonge mbele
 
Hapana ndugu yangu,
Nasikia mahakama za mwanzo hakuna wa wanasheria,

Labda umehisi nini hapo,
Unisaidie kimawazo
Hamisha kesi mahakama ya wilaya ili uweke wakili....
Majibu utaleta hapa...kesi itakuwa nyepesiiii maana wao kwa wao wanajuana
 
Nimekuelewa sana,
Hebu Naomba nisaidie hapo,

Inamaana pamoja na vyeti vya ndoa, mahakama inaweza kumsikia na ikampa haki?, namaanisha kwa mali za bi mkubwa
Ha ha ha wewe jamaa ni mzito sana ,akili yako inaload slowly sana aseeeh- ndiyo maana hako kamwanamke kanakuendesha mno.
 
Ha ha ha wewe jamaa ni mzito sana ,akili yako inaload slowly sana aseeeh- ndiyo maana hako kamwanamke kanakuendesha mno.

Angeweka mwanasheria mda mrefu sana angekuwa ashasahau .
Ila inaonekana kuna mwanaume mwenye nguvu ya hela na madaraka yupo nyuma ya huyu mwanamke
 
Angeweka mwanasheria mda mrefu sana angekuwa ashasahau .
Ila inaonekana kuna mwanaume mwenye nguvu ya hela na madaraka yupo nyuma ya huyu mwanamke
Ha ha ha ha

Huyu jamaa ana matatizo siyo bure.

Kwa mali alizonazo na exposure ,sijui na safari za nje yaani hajuani na mwanasheria hata mmoja. Yaani kweli hana mshauri wa mambo ya kisheria maishani mwake akamshauri vitu vya kisheria?

Imagine aliwekwa mahabusu bila kuambiwa chochote for two days ,hlf anamtafuta huyo huyo mwanamke ndiyo aje kumtoa- yaani amekosa ndugu au rafiki au mwanasheria au hata contacts za askari wakubwa wakubwa?

Aaaaaha huyu jamaa brain yake ni Pentium zero..... Anaload km zile computer za kutumia floppy disk aseeeh
 
Ha ha ha wewe jamaa ni mzito sana ,akili yako inaload slowly sana aseeeh- ndiyo maana hako kamwanamke kanakuendesha mno.
Mimi sio mzito,
Ila napenda sana kufuata utaratibu,

Mambo ya vurugu ni huyu mpuuzi ndio kanifundisha, ukifuatilia ni mambo gani mazuri niliyokuwa nimemfanyia ndio utagundua mimi ni mtu wa namna gani,

Ule utaratibu wa kuiendesha familia ktk misingi mizuri ndio huo hata yeye aliona hawezani nao akawa analazimisha mambo yaende kinyume na inavyotakiwa,

Na aliniita mimi ni dikteta,

Halafu kumbuka mimi vile ile ni mtu wa familia na ninategemea lakini vilevile nafanya kazi, kwa hiyo haya mambo nayapeleka katika namna ya utulivu sana,

Umesema ndio maana ananipelesha, lakini huko kunipelesha ndio nilikukataa na ndio maana tunaachana,.

Lakini nikuambie kitu, huyu mtu mpaka kunibadilikia hivyo ujue kwamba kuna watu waliotuzunguka amewaiga namna wanavyoishi akadhani na mimi anaweza kunufanyia hivyo akakuta nipo ngangali,

Amujaribu kunipelesha ameshindwa,

Ndugu yangu asikuambie mtu hizi nyumba zilizotuzunguka kuna mambo angejua yanayoendelea humu sijui ungesemaje.

Ni bora hatuyajui lakini mimi naelewa mengi sana.

Katika radius ya ya kama km 1 ya nyumba zinazotuzunguka nafahamu nyumba 3 ambazo wanaume wamejiengua kutokana na matatizo ya wake zao.

Mbili nyingine wanaume wanakula vibandani tu nyumbani hapakaliki,

Ni hayo tu , lakini binafsi najuamini nipo vizuri.
 
Ha ha ha ha

Huyu jamaa ana matatizo siyo bure.

Kwa mali alizonazo na exposure ,sijui na safari za nje yaani hajuani na mwanasheria hata mmoja. Yaani kweli hana mshauri wa mambo ya kisheria maishani mwake akamshauri vitu vya kisheria?

Imagine aliwekwa mahabusu bila kuambiwa chochote for two days ,hlf anamtafuta huyo huyo mwanamke ndiyo aje kumtoa- yaani amekosa ndugu au rafiki au mwanasheria au hata contacts za askari wakubwa wakubwa?

Aaaaaha huyu jamaa brain yake ni Pentium zero..... Anaload km zile computer za kutumia floppy disk aseeeh
Nilivyowekwa ndani , kwanza sikutarajia kama huyu mwanamke kaniandalia askari,nilishtukia tu mimi nimetoka kazini nimeoga, nasubiria niletewe chakula, mala askari hawa hapa,

Tena nimeshtukia wapo sebureni, kwanza nilidhani ni majambazi maana walikuwa na nguo za kilaia halafu mmoja kashikikia bastora,

Ndio wakajitambulisha na moja kwa moja wakanipakia kwenye gari lao hadi kituoni,

Kwa kuwa alishajipanga hata kule kituoni sikupata nafasi ya kujitetea Wala nini, simu zote wakaninyang’anya na moja kwa moja lockup,

Mpaka kesho yake asubuhi,

Kwa hiyo sikua na muda wa kumjulisha mtu yeyote,

Kuhusu wanashaeria, mbona nawasiliana nao sana,

Nasubiria hatma hii ndio ya kwanza ndio nilianzishe hasa.

Tupo pamoja sana wapendwa
 
Ha ha ha ha

Huyu jamaa ana matatizo siyo bure.

Kwa mali alizonazo na exposure ,sijui na safari za nje yaani hajuani na mwanasheria hata mmoja. Yaani kweli hana mshauri wa mambo ya kisheria maishani mwake akamshauri vitu vya kisheria?

Imagine aliwekwa mahabusu bila kuambiwa chochote for two days ,hlf anamtafuta huyo huyo mwanamke ndiyo aje kumtoa- yaani amekosa ndugu au rafiki au mwanasheria au hata contacts za askari wakubwa wakubwa?

Aaaaaha huyu jamaa brain yake ni Pentium zero..... Anaload km zile computer za kutumia floppy disk aseeeh
Halafu kingine, hili suala lilikuw animal langu binafsi sana sikutaka kuwaingiza watu wangu wa karibu kwenye issue ya kibinafsi kama hii,

Maana kwa heshima yangu ningekuwa nimezalaurika hata na watoto wangu,

Lakini namshukuru Mungu mpaka sasa hakuna anayejua nini kinaendelea, heshima yangu bado ipo, kuliko kama ningeluweka wazi kiasi hicho
 
Me : Ezio, what do u feel about this thread?
Also me : an emotional roller coaster.

May God almighty give you the necessary strength to do what's right.

Let's say umevumilia yote for the sake of your daughters but i know for sure that every man has his breaking point and yoz ain't gonna be pretty.

It's either u will end up in jail for hurting/killing that woman or u might die from depression related causes ( stroke, heart complications etc.)

Either way there is no win win situation here unless u start counting your blessings on what u have rather than on what u don't have. And u keep this long enough u gonna end up losing both your families.

You know u are no good to either of them if you are dead or in jail, don't u chief?

So get on your knees and pray for the God's forgiveness and strength, then man up and do what's right.

.
 
Chief, Nimekuelewa sana, thanks a million,

Namshukuru sana sana Mungu kwa kunipa nguvu mpaka dk hii,

Ni kweli mwanzo nilijidanganya kuvumilia sana sababu ya watoto, lakini ni kosa kubwa sana nilifanya.,

Mungu ni mkubwa, huyu mtu kumwepuka nimekwepa mambo makubwa sana, kama ukivyosema either angeniua au ningemuua au kumjeruhi vibaya sana,

Lakini kitendo cha kutokuwa naye, sijui hata namna ya kumshukuru Mungu,

Uhakika ambao ni nao, huko jela au kufa labda iwe sababu nyingine lakini kama ni chanzo cha yule mtu labda yeye ndio aniue, either kwa kuniletea majambazi au kuniloga, chochote kati ya hivyo, lakini mimi namtumainia Mungu, atanivusha tu.

Ahsante sana kwa maneno yako ya hekima na busara na huruma

,
 
Hata hivyo umemtendea wema sanaaaaaa
Wanaume kama wewe huwa hawapo dunia hii. Yani uzae tu na mtu alafu akufanye uwe familia yake ya pili??
Sema huyu mwanamke alijua labda utamuacha mke mkubwa umuoe yeye ili awe mmiliki wa vyote akaona haiwii.... na mbaya zaidi ni wewe kutetereka na kuuza mali hasa nyumba yake...hii ilimpa wasiwasi jumlisha na kwamba hana ndoa... kuolewa tena umri umeenda jumlisha na washauri wabaya ndo kabisaaaa akaharibu. Siku zote wanaoharibu watu ni watuu
 
Ha ha ha

IMG-20220127-WA0010.jpg
 
Ndo maana unatamani kurudi kijijini baada ya kustaafu.

Nimejifunza mengi hapa, Mungu akujalie hekima katika haya uyapitiayo.
 
Kusema kweli kama sio kukomaa mpaka sasa hivi ningekuwa nmeshamwachianyumba kwa vituko alivyonifanyia,

Kinachonitia wasiwasi huyo bwana ambaye wanae, kwanza alimwoaga binamu wa mke wangu, wakaachana baada ya bwana kumfumania mke wake na bwana mwingine,

Jamaa alipiga mwanamke karibu aue, haikutoshaakamfuata mwanaume na kumchima visu na kukimbia kijiji, amerudi juzi tu, huko

Kwa hiyo jamaa ni mshari wasiwasi wasije kuunda njama wanipotezee uhai,

Ila Mungu ameendelea kuwa na mimi,

Nimeshaenda kutoa taarifa polisi,
Bora wakuue tu mzee , Rudi kwa mkeo unaenda KUFA trust me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom