Naomba ushauri mafuta ya kutumia sehemu za baridi

Kwani humu jf mbona kuna matabaka
mbona kila nikiuliza swali mimi huwa sijibiwi
na wapo wanaoview ila hakuna ata alietia neno
Mbona kutengana jamani....???
 
bodyline mafuta mazito (mgando) changanya na grylicerine ya Zambia. N.B usipake usoni
 
Umeshasema uso una mafuta tena mafuta ya nini? Hata hivyo Vaseline za Kenya nazo si mbaya na kwenye baridi epuka kupaka mafuta mepesi mepesi hayakai tafuta mazito.( maana kuna mafuta mengine ni ya mgando lkn ukiyatest ni mepesi mno)
 
Uso una mafuta ndio
lakini nkifika kule unapauka sana mpaka naanza kubabuka
 
Habari...
Mimi naishi Ifunda Iringa... Kama kunavyojulikana ni baridi sana huko
Naomba wataalamu mnishauri ni mafuta gani ntatumia nikiwa huko ambayo yanaweza kung'arishaa ngozi yangu na kuniweka na muonekano wa asili
Uso wangu una asili ya mafuta
Naombeni msaada
Tumia happy skin my utafurahi na shoo mwenyewe yani hata hauitaji kuweka greslin ni yenyewe tu

Ni cheki 0653482355
 
tumia KY JELLY mkuu,hautojuta na haina michubuko!

Asante sana mkuu
Umeitikia tu na kushukuru unajua matumizi yake lakini?
1469944708404.jpg
 
Back
Top Bottom