Naomba ushauri Laptop gaani nzuri kwa kazi za Civil Engenering

zion mkushi

Senior Member
May 8, 2018
142
250
Habari wakuu.nilikua naomba ushauri wenu ninunue laptop ipi,yenye specs zipi (Ram, processor nzuri nk) itakayoweza kurun atleast hizi program vizuri kabisa

1. CIVIL 3D (2017-2018)
2. ARCH-CAD (2021)
3. Q-GIS/GOOGLE EARTH
4. MASTER SERIES au Program yoyote ya Structure Design.
5. CROP CLIM WATT.

Bajeti niliyonayo ni kati ya 500-600k tu hivi
Hivyo basi najua siwezi pata mpya kwa bajeti hii, option ni refurbished.
Chief-Mkwawa
 
Akilindogosana

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
1,174
2,000
Core i5 2.5 Ghz na zaidi
Ram 4GB ila ongeza iwe 8GB kwa ajili ya Civil 3D
Harddisk 500GB hadi 1TB

Ila nenda tafuta system requirements za Archicad 2021 nahisi ndio zitakupa muongozo mzuri wa pc hasahasa graphic card.
 
Smart Technician

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
633
1,000
Katika hizo pc kuna kitu cha muhimu unatakiwa kuzingatia GRAPHIC CARD iwe nVidia au Ukipata AMD Readon graphics hakikisha unazijua vizuri

Hapo tafuta pc itayoweza support CIVIL 3D 2018 zaidi ya hapo kwa hizo software ulizoandika hakuna itakayoshindwa
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,511
2,000
Habari wakuu.nilikua naomba ushauri wenu ninunue laptop ipi,yenye specs zipi(Ram,processor nzuri nk) itakayoweza kurun atleast hizi program vizuri kabisa
1. CIVIL 3D (2017-2018)
2. ARCH-CAD (2021)
3. Q-GIS/GOOGLE EARTH
4. MASTER SERIES au Program yoyote ya Structure Design.
5. CROP CLIM WATT.

Bajeti niliyonayo ni kati ya 500-600k tu hivi
Hivyo basi najua siwezi pata mpya kwa bajeti hii,option ni refurbished.
Chief-Mkwawa
Software za Cad zinafanana na games utendaji wake, badala ya kutafuta cpu yenye core nyingi unatakiwa utafute cpu yenye single thread perfomance kubwa.

Pia utahitaji gpu nzuri, ram na storage ya kutosha.

Kwa hio budget ni kweli hutapata mpya nzuri,

1. Realistic laptop
Tafuta laptop ya gen ya 6 ama 7 used zinapatikana hio budget i5 inamake sense zaidi hivyo tafuta i5 6200u ama i5 7200u. Zitarun Cad softwares vizuri tu japo kwenye 3d intensive task zitastrugle. Ukipata yenye kioo cha full HD ni vizuri zaidi maana wanarecomend hio resolution.

2. Laptop za machimbo
Unaweza kutafuta kupatana, zoomTanzania, magroup ya FB etc au kwa madalali na machimbo mengine, laptop yenye dedicated gpu na processor nzuri.

Laptop hizi utaona sticker logo ya Nvidia ama radeon juu. Sema kuwa makini kuna gpu za Nvidia ama radeon ni low end sana hazina maana.

Vyema kama unapata deal kama hili ukapaste specs zake humu jukwaani.
 
wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,516
2,000
Mkuu alichokuambia Mkwawa zingatia sana. Power unayotaka wewe ni sawasawa na power anayotaka mtu wa gameing laptop fullstop. Ninayo moja ingawa wewe haikufai nilinunua for Video Editing niliagiza gameing laptop iko vizuri.

Sio kwamba hizi nyingine haziwezi ila ndio zile ambazo una run software za CAD na GIS inabidi uweke ki karatasi "do not disturb" kwenye keyboard ita run 6 hrs project moja tu.
 
zion mkushi

Senior Member
May 8, 2018
142
250
Software za Cad zinafanana na games utendaji wake, badala ya kutafuta cpu yenye core nyingi unatakiwa utafute cpu yenye single thread perfomance kubwa.

Pia utahitaji gpu nzuri, ram na storage ya kutosha.

Kwa hio budget ni kweli hutapata mpya nzuri,

1. Realistic laptop
Tafuta laptop ya gen ya 6 ama 7 used zinapatikana hio budget i5 inamake sense zaidi hivyo tafuta i5 6200u ama i5 7200u. Zitarun Cad softwares vizuri tu japo kwenye 3d intensive task zitastrugle. Ukipata yenye kioo cha full HD ni vizuri zaidi maana wanarecomend hio resolution.

2. Laptop za machimbo
Unaweza kutafuta kupatana, zoomTanzania, magroup ya FB etc au kwa madalali na machimbo mengine, laptop yenye dedicated gpu na processor nzuri.

Laptop hizi utaona sticker logo ya Nvidia ama radeon juu. Sema kuwa makini kuna gpu za Nvidia ama radeon ni low end sana hazina maana.

Vyema kama unapata deal kama hili ukapaste specs zake humu jukwaani.
Nimetafuta mno used mitandaoni,madukani nk.
Leo nilikuta hii refurb dukani.jamaa wakanikazia bei mwisho 690k vp itafaa?
Ni inch 14.hp
Hdd 500gb
Graphic memory 4gb
IMG-20200319-WA0002.jpeg
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,511
2,000
Nimetafuta mno used mitandaoni,madukani nk.
Leo nilikuta hii refurb dukani.jamaa wakanikazia bei mwisho 690k vp itafaa?
Ni inch 14.hp
Hdd 500gb
Graphic memory 4gb View attachment 1394121
Imetulia sana mkuu, 7th gen hio sio mbaya.

Hio graphics kama unaweza click search kisha search neno dxdiag then kitakuja kiprogram kifungue then nenda display ili tuione model yake.

Alternative search device manager kisha upande wa graphics adapter angalia kuna Hd 620 na nyengine ni ipi?
 
BEYOND_LIMIT

Member
Feb 10, 2017
88
150
Jaribu pia kuchek ebay huwa wanakuwa nazo. Chek kma utabahatika spec hiz hazijawah kunisumbua ila muhimu graphics card kama walivyosema waliotangulia
20200320_193924.jpeg
20200320_193840.jpeg

teaching fools some basic rules
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom