maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,231
- 2,400
Asalaam aleykum!
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu 2021 baada ya kutafakari na kujiuliza mambo mengi kuhusu akili yangu na kugundua kwamba natumia asilimia ndogo sana ya akili yangu katika maisha ya kila siku wakati nina uwezo mkubwa sana wa akili.
Nilifanya experiment kama ifuatavyo;Nilichukua X1 nikachanganya na Y1 nikasaga kwa pamoja kwenye blender then nikafunga.Siku ya pili nikachuja mchanganyiko wa X1 na Y1 nikaweka kwenye kikopo ndani nikatumbukiza nyanya nzima nilizoiva nyekundu ambazo hazijapikwa.
Matokeo ni kwamba tangu mwezi wa tatu mwaka huu mpaka Leo hii mwezi wa kumi zile nyanya hazijaoza wa kuweka ukungu au kutengeneza fangasi ndani ya kile kikopo.Changamoto ni kwamba nyanya zimelainika na huwa kuna hewa nzito ambayo huwa naiondoa kwakufungua kikopo halafu nakifunga tenda.
NB:Kitendo cha nyanya kutokuoza na kutengeneza ukungu au fangasi ndani ya kile kikopo kilichofungwa ni jambo kubwa wala sio ndogo