Naomba ushauri kwa wataalamu wa mambo ya printing

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,435
6,283
Wakuu naomba mnisaidie mawazo,
Naitaji kuwa na zile picha kubwa ambazo naweza kubandika kwenye ubao wa matangazo, au hata kwenye zile vioo ambavyo unafunga taa ndani then picha inaonekana sasa ushauri ninapotaka ni aina ya printa ambayo inaweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi, nimejaribu kuangalia printa ambayo inaweza kuprint A2 but bado nimeona ukubwa wa karatasi sio kama huo ambao Naitaji je naweza kutumia printa ya aina gani?
 
Mkuu kwa ushauri wa haraka nenda kariakoo mitaa ya Jangwani kule Tafuta ofisi za kuprint Large Format, nenda na picha zako kwenye Flash disk watakusaidia kwa haraka zaidi, waambie kabisa unataka kuprint Banner ambayo unaenda kuweka taa kwa ndani...
 
Hivi kasema yuko Dar eeeh?
 
Mkuu kwa ushauri wa haraka nenda kariakoo mitaa ya Jangwani kule Tafuta ofisi za kuprint Large Format, nenda na picha zako kwenye Flash disk watakusaidia kwa haraka zaidi, waambie kabisa unataka kuprint Banner ambayo unaenda kuweka taa kwa ndani...

Thank brother I appreciate
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom