Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
3,279
3,775
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa.

2. Mfumo wa Ajira Portal hauruhusu mtu mwenye equivalent education ku apply hata kama tangazo litasema, kwa mfano mtu mwenye Degree ya Industrial Engineering kuna baadhi ya mambo mengi tu anaingiliana na mtu wa Mechanical Engineering lakini kama kwenye Ajira Portal imeandikwa ni Mechanical Engineering my dear yaani hata ufanyeje itakugomea, mtu wa Environmental Engineering kuna mambo anaingiliana na mtu wa Civil Engineering lakini kama haijamtaja mmoja wapo na imeandikwa tu "and equivalent" mfumo wa Ajira Portal unagoma.

Ushauri: Kuna baadhi ya kazi unakuta job description inaruhusu hata mtu mwenye fani zinazoendana kuomba hizo nafasi ombi langu kwa wahusika wajaribu kurekebisha baadhi ya mambo na pia kuzihusisha hata zile kozi zinazoendana kuweza kupata nafasi ya kuomba.

Alamsiki.

======

1615447442260.png
1615447458773.png
1615447476276.png
1615447499986.png
1615447513601.png
1615447527397.png
1615447541002.png
1615447554991.png
 
Attachments

  • Ajira Portal.pdf
    1.1 MB · Views: 68
Upo sahihi kabisa, yani unakuta JD inaendana kabisa na elimu yako na unaweza kuomba hiyo kazi lakini ukijaribu kuomba inagoma.
Sijawahi kufanikiwa na hii ajira portal hata mara moja halafu unakuta post uliyo omba inaendana kabisa na ulichosoma

Unakuta labda kazi ni ya human resource lakini hata mtu wa public administration anaweza kuomba lakini system inakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio inagoma kabisa yaani hapo wanaoset wanataka kama ni HR basi uwe umesomea HR otherwise huwezi kuomba hata kama umesomea kitu ambacho ni equivalent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi kabisa, yani unakuta JD inaendana kabisa na elimu yako na unaweza kuomba hiyo kazi lakini ukijaribu kuomba inagoma.
Inakataa mapema sana, mfano mtu aliesomea mechanical na Mechatronics hawatofautiani sana kwenye majukumu lakini mfumo hautaki haujasetiwa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuomba ajiraUutumishi kupitia Portal, natumaini baadhi yenu na wengi wenu humu mmeshajiunga na program hiyo.

Naombeni kufahamu ubora na udhaifu wa kuomba ajira kupitia hiyo app.

Pia kama kuna mtu amesha au alishapata ajira kupitia portal naomba utupe ujanja kuwa huwa utaratibu wa kuitwa ukoje.

mind ur business.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
=Baada ya kuapply kazi husika. utasubiri kwa muda fulani , kupitia web ya utumishi watatoa majina ya wahusika waliochaguliwa kwenda kufanya interview( utaelekezwa mahali,siku na saa).
=utakwenda kufanya interview , utakaa tena kwa muda kusubiri. Kama utabahatika kufaulu interview, utapewa siku kadhaa za kujiandaa kwenda kuchukua barua ya kazi ambayo inaeleza ofisi, taasisi n.k unayotakiwa kuripoti kama kituo chako cha kazi. hiyo barua utakwenda kuchukua huko huko utumishi.
=baada ya hapo . huko kituo ulichapangiwa watamaliza taratibu zako zote za ajira kama mikataba ya kazi na kadhalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana unashauriwa kuedit taarifa zako zifit qualifications husika, mfano kama una digrii ukiomba kazi wanayotaka mtu wa diploma inagoma. Sasa kwa wale amboa wamepitia diploma halaf wakaenda digrii wakiomba kwa kutumia kigezo chao cha diploma wanagomewa, kwakuwa mfumo unawatambua kuwa wana elimu kubwa zaidi ya vigezo walivyoviweka.

Cha kufanya hapo kama una elimu zote mbili digrii na diploma halafu, unataka uapply kazi ya mtu wa diploma inabidi urudi kwenye taarifa zako uedit kipengele cha elimu ili usigomewe na mfumo,

Kadhalika na vipengele unavyoviona vinakukwamisha unaviedit ili mfumo usikukatae, ila angalizo usije ukavamia sifa ambazo zitaenda kukutesa kwenye usail

TAHADHARI!!!!!!
TAARIFA HII SIO RASMI, NI MBINU TU ZA KUPENYAPENYA ILI KUKIFIKIA CHUMBA CHA USAILI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa.

2. Mfumo wa Ajira Portal hauruhusu mtu mwenye equivalent education ku apply hata kama tangazo litasema, kwa mfano mtu mwenye Degree ya Industrial Engineering kuna baadhi ya mambo mengi tu anaingiliana na mtu wa Mechanical Engineering lakini kama kwenye Ajira Portal imeandikwa ni Mechanical Engineering my dear yaani hata ufanyeje itakugomea, mtu wa Environmental Engineering kuna mambo anaingiliana na mtu wa Civil Engineering lakini kama haijamtaja mmoja wapo na imeandikwa tu "and equivalent" mfumo wa Ajira Portal unagoma.

Ushauri: Kuna baadhi ya kazi unakuta job description inaruhusu hata mtu mwenye fani zinazoendana kuomba hizo nafasi ombi langu kwa wahusika wajaribu kurekebisha baadhi ya mambo na pia kuzihusisha hata zile kozi zinazoendana kuweza kupata nafasi ya kuomba.

Alamsiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu naomba kuuliza hivi wanaposema kwamba uattach verification certificate wanamaanisha nini???
 
Habari zenu waungwana wenzangu.

Nina takribani miaka mitatu sijaingia huku Ajira Portal, leo nimejaribu kuapply naambiwa application failed nicheki requirements. Wakiwa na maana kwamba sina sifa kwa hiyo nafasi iliyotangazwa, nimejaribu kama mara nne nafasi tofauti kote inagoma cha ajabu nafasi zote hizo sifa ya mwombaji wametaja moja tu ambayo ni Bachelor Degree tena na course yangu imetajwa.

Labda kuna mahali nakosea au kuna mabadiliko katika utumaji wa maombi. Naombeni msaada wenu ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesomea nini....?
Kozi gani...?
Funguka ili usaidiwe
Habari zenu waungwana wenzangu..
Nina takribani miaka mitatu sijaingia huku ajira portal, leo nimejaribu kuapply naambiwa application failed nicheki requirements. Wakiwa na maana kwamba sina sifa kwa hiyo nafasi iliyotangazwa, nimejaribu kama mara nne nafasi tofauti kote inagoma cha ajabu nafasi zote hizo sifa ya mwombaji wametaja moja tu ambayo ni bachelor degree tena na course yangu imetajwa.
Labda kuna mahali nakosea au kuna mabadiliko katika utumaji wa maombi, naombeni msaada wenu ndugu zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom