Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 772
Habari wana JF, mimi nina mtoto wa miezi miwili ambaye alizaliwa akiwa na week 34 tu tumboni. Baada ya kuzaliwa alikaa kwa muda wa siku tatu kisha madaktari wakamruhusu na kutuambia baada ya week moja tumrudishe hospitali. Tulipomrudisha tukaambiwa mtoto ana matatizo kwa hiyo alilazwa kwa week moja kisha akaruhusiwa sasa hivi karibuni namuona anafanya kama anataka kutapika lakin hatapiki. Sometimes anatoa mate kidogo na inamtokea karibia kila siku wakati mwingine hata akiwa usingizini. Sasa ndugu zangu naomba ushauri kwa anayejua mimi napatikana Dsm