Naomba ushauri kwa matokeo haya

future man

Member
Feb 2, 2021
5
20
Jamani wakubwa wanaJF, tafadhali naomba msaada wa ushauri kwa haya matokeo.

Physics D, Chemistry C, Geography C, Civics B, History C, Kiswahili B, English C, Mathemetics F, Biology B.

Lengo ni kwenda technical in laboratory technology.

Je, naweza chaguliwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom