Naomba ushauri kwa anayejua kuhusu mafuta ya ubuyu

nashkuru kwa wazo lako ila maana ya kuomba msaada huu kua nataka kuagizia magunia (polo) ya ubuyu na nimepewa order ya lita 2500 na ndio mara yangu ya kwanza kuanza biashara ya mafuta ya ubuyu kwahio nikihitaji kujua kwa uhakika kabla ya kuagizia mzigo
 
Okay sawa mkuu. Kusema kweli labda sikuelewa uzi ila haya maelezo ungeyatoa kwenye uzi wako nadhani ingefaa zaidi.

Ngoja wazoefu wa ubuyu waje
 
Back
Top Bottom