Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Ukienda hospital unaweza ukapewa HELIGO KIT, hii ni dawa nzuri sana ya vidonda vya tumbo na ukizingatia maelekezo utakayopewa unaweza ukapona kabisa.

Lakini kitu kikubwa ni DIET, Jaribu kufuatilia ushauri juu ya vyakula gani ule na vyakula gani usile uliotolewa na wachangiaji waliotangulia kabla yangu.

POLE SANA, MWENYEZIMUNGU ATAKUPONYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wadau nimeteseka sana na vidonda vya tumbo sasa nataka ushauri hospitali gani niende naweza pata vipimo vizuri vikanisaidia,hapo mwanzo nilikuwa naenda hospital za kawaida kutokana na kipato ila kwa sasa nimekusanya pesa kama laki tisa kwa ajili ya kwenda kupata vipimo vya uhakika,Nitangulize shukran kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikupe ushauri wa bure na inaweza kukugharimu kiasi tu kama ushapimwa ukakutwa na bakteria wa hpyrol basi omba vidonge vya Heligo kit hizo dawa ni bomba ila madaktari wengi humpa mgonjwa dozi moja tu yaani dawa za siku saba tu kisha hukupa dawa zingine kwa muda wa mwezi mzima. Sasa ushauri nilipata kwa Dr mzoefu. Hizo dawa unatakiwa uzinywe set tatu kila siku hadi wiki tatu ziishe tumia ujanja wako maana madokta watakukatalia wakijua ushatumia zaidi ya wiki mbili. Tatufa hata mtu akununulie ukishindwa wewe.

Ni hivi hizo dawa first wiki inaua wadudu ila sio wote second week inakausha vidonda na third week inatengeneza makovu sehemu zilizokuwa na vidonda. Hivyo ukipona hata pilipili utakula bila khofu.

Dawa huwa zinanguvu kama afya yako ni mgogolo hutaweza zimaliza na utapona kwa muda tu.

Unywaji wa dawa unafuata kama maelezo yake picha ya mwezi unakunywa usiku na picha ya jua unakunywa asubuhi. Kiujanja kula chakula robo sahani kisha meza dawa and then malizia msosi wote uufute sahanini . Hautasikia kabisa nguvu ya hizo dawa.

Amini Amini nakufahamisha wengi walionisikiliza walipona hata kama unaumwa kifua maana hao wadudu hutafuna hadi kifua njia ni hiyo hiyo.

Ukipona uje ugonge like.
 
Mkuu nikupe ushauri wa bure na inaweza kukugharimu kiasi tu kana ushapimwa ukakutwa na bakteria wa hpyrol basi omba vidonge vya Heligo kit hizo dawa ni bomba ila madaktari wengi humpa mgonjwa dozi moja tu yaani dawa za siku saba tu kisha hukupa dawa zingine kwa muda wa mwezi mzima. Sasa ushauri nilipata kwa Dr mzoefu. Hizo dawa unatakiwa uzinywe set tatu kila siku hadi wiki tatu ziishe tumia ujanja wako maana madokta watakukatalia wakijua ushatumia zaidi ya wiki mbili. Tatufa hata mtu akununulie ukishindwa wewe.

Ni hivi hizo dawa first wiki inaua wadudu ila sio wote second week inakausha vidonda na third week inatengeneza makovu sehemu zilizokuwa na vidonda. Hivyo ukipona hata pilipili utakula bila khofu.

Dawa huwa zinanguvu kama afya yako ni mgogolo hutaweza zimaliza na utapona kwa muda tu.

Unywaji wa dawa unafuata kama maelezo yake picha ya mwezi unakunywa usiku na picha ya jua unakunywa asubuhi. Kiujanja kula chakula robo sahani kisha meza dawa and then malizia msosi wote uufute sahanini . Hautasikia kabisa nguvu ya hizo dawa.

Amini Amini nakufahamisha wengi walionisikiliza walipona hata kama unaumwa kifua maana hao wadudu hutafuna hadi kifua njia ni hiyo hiyo.

Ukipona uje ugonge like.
Asante kwa ushauri leo ndo naenda hospital moja iko makete inaitwa ikonda nikapime vipimo vyote vya tumbo nitarudisha feedback

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda hospital unaweza ukapewa HELIGO KIT, hii ni dawa nzuri sana ya vidonda vya tumbo na ukizingatia maelekezo utakayopewa unaweza ukapona kabisa.

Lakini kitu kikubwa ni DIET, Jaribu kufuatilia ushauri juu ya vyakula gani ule na vyakula gani usile uliotolewa na wachangiaji waliotangulia kabla yangu.

POLE SANA, MWENYEZIMUNGU ATAKUPONYA

Sent using Jamii Forums mobile app
Asantee sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole na shida hyo, binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu Lakini nilielekezwa na jamaa niliyekutana na ye. Niliekezwa bure nami natoa bure. Tafuta majani flani ntaatach hapa ya aina mbili nayo ambayo utayachuma na kuyatwanga yakiwa mabichi na kisha kuandaa maji ya uvuguvugu na kisha kuyachanganya na hiyo rojo na kisha chuja. Kikombe kimoja cha robo lita kwa siku 3. Nawe utaona kama nilivyopona. Nina mwaka wa 4sasa toka nione. So ni hakika na nisemalo. Majina ya hayo majani siyajui kwa majina yake ila picha zake ndio hizo hapo. Enjoy the remedy
IMG_20161215_154658_1555858127415.jpeg
IMG_20161215_150351_1555858098614.jpeg
 
Habarini za jioni ya pasaka ndugu wana jamvi.

Si mwandishi sana humu jamvini japo ni msomaji wa muda kidogo. Leo nimependa ku share jambo lilionipa msaada baada ya kuona watu wengi wamekuwa wakisumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo.

Binafsi niliumwa na vidonda vya tumbo kwa miaka mitatu Lakini nilielekezwa na jamaa niliyekutana naye. NILIEKEZWA BURE NAMI NATOA UFAHAMU HUO BURE.

Tafuta majani flani ntaatach hapa ya aina mbili nayo ambayo utayachuma na kuyatwanga yakiwa mabichi na kisha kuandaa maji ya uvuguvugu na kisha kuyachanganya na hiyo rojo na kisha chuja. Kikombe kimoja cha robo lita kwa siku 3. Nawe utapona kama nilivyopona.

Nina mwaka wa 4sasa toka nipone. So nina hakika na nisemalo. Majina ya hayo majani siyajui kwa majina yake ila picha zake ndio hizo hapo.

Wataalamu wa classification wanaweza saidia kutupa majina ya hayo majani
tapatalk_1555861460508.jpeg
tapatalk_1555861454972.jpeg
 
Naongezea jitahidi asubuhi kunywa chai yenye mchanganyiko wa asali ..zaidi unaweza ramba asali ata vijiko viwili jioni

Pia jitahidi kula kula usipende kukaa na njaa muda mrefu
 
Kwa mwenye msaada wa dawa au tiba ya vidonda vya tumbo wakuu naomba anifahamishe.Natanguliza shukran
MKAA WA KIFUU CHA NAZI
.
📕Mkaa pia hutibu vidonda vya tumbo hasa mkaa utokanao na vifuu vya nazi. Chukua vifuu vya nazi vitano au kumi vilivyokauka, viweke juu ya jiko la mkaa au popote na uvichome moto, mwishoni chukua mkaa wake usage kupata unga, kisha chota kijiko kikubwa kimoja na uweke ndani ya kikombe kimoja cha maji changanya vizuri na unywe kutwa mara 3 kwa wiki 2 au 3.

Usiache Dozi Ulipewa Hospital
 
asante mkuu nimeshatumia hiz dawa za kisasa but sijapata mafanikio ndo mana nauliza tiba mbadala

ASALI MBICHI
.
Asali mbichi, ile nzuri kabisa ambayo haijachakachuliwa inao uwezo mkubwa katika kutibu vidonda vya tumbo. Kama ujuavyo asali ni dawa karibu kwa kila ugonjwa. Kuna kimeng’enya kilichomo kwenye asali kijulikanacho kama ‘glucose oxidase’ ambacho huizalisha ‘hydrogen peroxide’ ambayo yenyewe inayo uwezo wa kuuwa bakteria wabaya mwilini ambao husababisha vidonda vya tumbo. Pia hii ‘glucose oxidase’ huulainisha ukuta wa tumbo na kupunguza muwako au vidonda tumboni.
.
Lamba vijiko vikubwa viwili kutwa mara tatu au vijiko vikubwa vitatu kutwa mara mbili. Itasaidia kusafisha tumbo, itaimarisha ukuta wa tumbo na kuzuia na kutibu vidonda vya tumbo. Fanya hivi kwa wiki 3 hadi 4. Hakikisha unapata asali mbichi salama ambayo haijachakachuliwa.
.
.
. KITUNGUU SWAUMU
.
Kitunguu swaumu pia husaidia kutibu vidonda vya tumbo. Watafiti katika kituo cha utafiti wa kansa cha Fred Hutchinson Cancer Research Center in Seattle waligundua kuwa uwezo ambao kitunguu swaumu kinaweza kudhibiti na kuua bakteria mbalimbali mwilini pia kudhiti bakteria anayesababisha vidonda vya tumbo ajulikanaye kama Helicobacter Pylori (H. pylori).
.
Chukuwa punje 6 za kitunguu swaumu, menya na ukate vipande vidogo vidogo kisha umeze pamoja na maji vikombe viwili kutwa mara 1 kwa wiki 2 au 3
NOTE:USIACHE KUTUMIA DAWA ULIZOPEWA HOSPITALINII
 
Mama yangu alikua anatatizo hili,niliona thread humu kuhusu mkojo aisee hii ni dawa tosha,alitumia kama siku tatu tu akapona,na juzi ametoka kufunga wala hakupata tatizo,

MATUMIZI.
Kinga mkojo wa asubi na kunywa wote kila siku kwa siku 3 au 4 dozi imeisha,zingatia kunywa maji mengi ili asubui upate mkojo ambao hauna makali sana.
 
Huu ndo uzuri wa forum kama huu wa kupata tiba za maradhi sugu
 
Mama yangu alikua anatatizo hili,niliona thread humu kuhusu mkojo aisee hii ni dawa tosha,alitumia kama siku tatu tu akapona,na juzi ametoka kufunga wala hakupata tatizo,

MATUMIZI.
Kinga mkojo wa asubi na kunywa wote kila siku kwa siku 3 au 4 dozi imeisha,zingatia kunywa maji mengi ili asubui upate mkojo ambao hauna makali sana.
Mkuuu mkojo kweli ni dawa? Usiongee kiutani mkuu, watu wako serious wanaumwa kweli na wanahitaji msaada wa kweli mkuu.
 
Mkuuu mkojo kweli ni dawa? Usiongee kiutani mkuu, watu wako serious wanaumwa kweli na wanahitaji msaada wa kweli mkuu.
Wachina wanatumia sana tiba hii, tena sio mpaka waumwe. Wanatumia ili kuweka mwili fit, especially tumboni.
 
Back
Top Bottom