Naomba ushauri kuhusu tatizo la moyo kudunda kwa nguvu sana

Benibaya

Member
Jan 29, 2020
14
4
Wakuu naomba kuuliza

Mimi ni kijana mwenye miaka 18. Moyo wangu huwa unadunda kwa nguvu yani hata nikiwa nimeshika kitu mkono wa kushoto unatetemeka.

Naomba ushauri vitu gani niache ili urudi katika hali yake ya kawaida na hili limesababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospitali utajua sababu na utashauriwa cha kufanya. Baada ya hapo utaweza kukusanya maoni ya watu wengine.

Sent using Linux 10.29
 
Hilo tatizo hata ninalo most inatokea kwa watu wanaotumia mkono au mguu wa kushoto kuplay mpira au kulusha jiwe tiba yake wengiwetu huwa tunakutwa na magonjea ya kulithi mfano kifafa, pumu nk.

Ushauli wa kitaalamu wanasema kaa mbali na vyanzo vya moto pili ukiwa na hasira moyo unakuwa unapiga kasi sana njia zipo nyingi kuzui hii kitokea mara kwa mara
 
Hilo tatizo hata ninalo most inatokea kwa watu wanaotumia mkono au mguu wa kushoto kuplay mpira au kulusha jiwe tiba yake wengiwetu huwa tunakutwa na magonjea ya kulithi mfano kifafa, pumu nk ushauli wa kitaalamu wanasema kaa mbali na vyanzo vya moto pili ukiwa na hasira moyo unakuwa unapiga kasi sana njia zipo nyingi kuzui hii kitokea mara kwa mara
Pore, urienda hospitari kweri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom