Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

Jamaa huwa anapiga, inakuwaje binti mpaka akubali kupiga picha za namna hiyo
 
Mkuu acha kutetea mdangaji kwa kumuita "mpole" mpole gani ana cheat , mwongo na hataki kukiri kosa?

labda kama unazungumzia yeye kumpiga huyo mdangaji siàjelewa alikuwa anampiga hili iweje au anampiga kwa misingi gani huo ni moja ya upumbavu mkubwa sana alioufanya
Mdangaji kakutana na kijana asiye na buasara"
Nani anatetea mdangaji? Nimemtetea kipi? Jielewe bwana. Naongelea kupiga wewe unasema natetea. Jamaa ana mamlaka gani ya kupiga yeyote? Wewe huoni hapo jamaa akiamuliwa ni anakula zake kitanzi hapo? Mambo mengine watu kujitafutia matatizo tu. Mtu ushaona ni malaya unahangaika nae wa nini

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona utakuwa na zoezi endelevu la kumfumania huyo mtu wako. Cha msingi kaa pembeni endelea na maisha yako. Isipokuwa kama unauvumilivu na hujali ukimwi.
 
Acha kumdanganya mwenzako...mwingine atampata wapi?

Wanawake all most wote wana maigizo, na wengi kama sio wote wanafanana tabia huwa zinatofautiana tu size ya upana na urefu
Kwani mwanamke yupo huyo mmoja tu? Siyo wote ni akina witty
 
Back
Top Bottom