Naomba ushauri kuhusu kusogeza meno ili yalingane

Hamna vyuma vya laki moja apo alikupiga nenda mloganzila vyuma vyao Ni rahisi kidogo pia Kuna wataalam
In such ni kama waya tu alinizungusha, akanambia tayari hapa ushapona. Ila sasa niko kanda ya ziwa, sijui hospitali gani itanifaa? Afu hiyo laki 8 ni kwa jino moja?
 
Me nilishajaribu kwenda kuuliza bei ya kuweka waya meno ya juu tuu Kairuki hospital wakaniambia ni laki nane hiyo ilikuwa mwaka 2017 sijui nao itakuwa imefikia kiasi gan
Uliweka?, kama uliweka vipi mafanikio yake?, Yalirudi kwenye hali ya usawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom