Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,962
- 22,333
Okey dada kila la kheri. Ila jaribu Dar maana kule kuna hotels nyingiMimi ni hotelia..
Okey dada kila la kheri. Ila jaribu Dar maana kule kuna hotels nyingiMimi ni hotelia..
Inaingiaje hapo mzee
Hongera natumai sasa umefika kiwango alichokua anamaanisha boss wako.Nashukuru nimerudishwa kazini!! Ahsanteni wote kwa michango yenu hapa akili imenikaaa walah nilikua nalia usiku na mchana
Lakin na sisi tuwe fair. Inakuwaje unashindwa kuonyesha uwezo ndan ya miez miwili.!!??Kipindi cha probation ni kipindi cha unafiki, yaani inabidi uwe mfanyakazi bora kubembeleza ajira. Kama ni underperformance ndio basi tena.
Usilolijua ni kama usiku wa gizaLakin na sisi tuwe fair. Inakuwaje unashindwa kuonyesha uwezo ndan ya miez miwili.!!??
Hizi kazi kuzipata watu wana sota sana. Sasa inakuwaje unapata kazi then ndan ya miez miwili unaonyesha weekness kubwa kiasi cha uongozi kuamua kusitisha mkataba wako. Ni aibu kwa kweli. Mungu amekufungulia mlango then ww umeshindwa kuishikilia hiyo nafasi.
Sio probation tu muda wote wa ajira unatakiwa uwe mtu wa kujishusha na bosi always huwa hakoseiKipindi cha probation ni kipindi cha unafiki, yaani inabidi uwe mfanyakazi bora kubembeleza ajira. Kama ni underperformance ndio basi tena.
Hongera kwa hilo!Hebu share nasi tupate maarifa pia,umeachishwa wiki mbili zilizopita, saiv umerudishwa kazini,umefanyaje fanyaje ?Nashukuru nimerudishwa kazini!! Ahsanteni wote kwa michango yenu hapa akili imenikaaa walah nilikua nalia usiku na mchana
Well said mkuu, kuwa chini ya uangalizi (Probation period) haimaanishi kuwa usiwe na mkataba, unakuwa na mkataba ila kwenye terms zake ndio utaonyesha kipindi cha uangalizi mfano miezi mitatu, sita, mwaka n.kQueen Priya, Kwanza napenda nikupe pole kwa changamoto iliyokukuta, lakini utambua njia moja ikifungwa, kuna njia nyingine inafunguliwa, kuwa na imani.
Tukirudi kwenye mada:
Kwa haraka haraka ni kwamba huna uthibitisho kuwa ni mfanyakazi wa hiyo kampuni, ni kama ulikuwa unajitolea ili uwashawishi wakupe kandarasi bahati mbaya umeshindwa kuwashawishi.
Binafsi sioni kama huna haki hapo maana hata waliopo kwenye uangalizi wanakwa na mkataba ambao unaelezea makubaliano ya muda wa kuwa kwenye uangalizi na vipengele vyake.
Nakazia. Dar kuna hotel nyingi sana kama angepata connection ya dar. ingekuwa rahisi kwake kupata ajira, ila hata bagamoyo au Zanzibar sio mbaya sana kwa upande wa ajira za kwenye hotel.Okey dada kila la kheri. Ila jaribu Dar maana kule kuna hotels nyingi
Mungu hakutie nguvu.Nashukuru nimerudishwa kazini!! Ahsanteni wote kwa michango yenu hapa akili imenikaaa walah nilikua nalia usiku na mchana