Naomba ushauri kuhusu kozi ya Diploma in Mining Engineering

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Habari za leo wakuu, nimechaguliwa Diploma in Mining Engineering katika Chuo cha Madini Dodoma, naomba kujua mwenye uelewa wowote kuhusu

1.source nzuri za materials
2.njia nzuri za kutumia katika kujisomea
3. Mwenye mchango wowote wa kimawazo wa kunijenga unakaribishwa
Natanguliza shukrani🙏🙏
 
Ni pm kijana nipo hapa madini dodoma nikupe nondo.
 
Daah yaani ndo mkamalizana juu kwa juu, ila ungemjibu hapa watu wengi wangefaidika na huenda uzi ungekuwa endelevu zaidi.
 
Back
Top Bottom