Naomba ushauri kuhusu kilimo Cha maharage Wilayani Kwimba

Jkitamoga

Member
Jul 25, 2021
31
10
Niko wilaya ya kwimba napenda kujua kama maharage yanaweza kusitawi vizuri kwenye udongo mweusi (mfinyanzi) maana ninaeneo la aina hiyo na liko karibu na chanzo Cha maji.

Naomba ushauri wako.
 
Wilaya ya Kwimba, ndani ya Mkoa wa Mwanza. Hii Wilaya ipo nyuma sana aisee. Wewe lima tu mzee , wasukuma wanalima Mahindi na Maharage hapo kwimba miaka nenda rudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom