Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

Naomba kujua mtu wangu ameanza kuvaa nguo zinazobana (sketi) maungo. Binafsi sipendi kumuona akivaa hizo nguo na hata yeye wakati tunaanza hakuwa anapenda kuvaa nguo za aina hiyo.

Nilimuuliza anasema yeye anapenda kwa kuwa ni fashion, nifanyeje? Kuvaa nguo zinazoshika makalio ina maana gani?

Ila nishamwambia kuwa sitaki avae nguo hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuaelewa vizuri mzee, ni mke wa mtu au ni mke wako? Kama ni mke wako na unakuja kutafuta ushauri social media, mimi nahisi wewe mwenyewe una walakini. Kwanani hushirikishi wazee kwanza? Nakama huko umeshindwa ni wewe kama mwanamme unatakiwa utoe uamuzi
 
Hahaa, kwani humu hawako wazee? Hawako wenye uzoefu na masuala ya ndoa? Usikariri mkuu ukiwa msomi haimaanishi huhutaji kujifunza tena. After all nimepata mawazo mazuri pengine hata hao wazee wako wasingeyatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa, kwani humu hawako wazee? Hawako wenye uzoefu na masuala ya ndoa? Usikariri mkuu ukiwa msomi haimaanishi huhutaji kujifunza tena. After all nimepata mawazo mazuri pengine hata hao wazee wako wasingeyatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu vema huyo Mtambwe, wazee wengine mtaani huko wameshavurugwa, ukimuomba ushauri ndio anapata upenyo wa kumtongoza mkeo, anamuita anamwambia mume wako kaja kukushtakia kwangu, sasa wewe nifae ili nimtulize asikusumbue
 
"Akili ya Kuvuka majaribu na vishawishi",
Sasa kama hawezi kutambua vitu vinavyo vinaweza kumtia majaribuni na kumuingiza katika vishawishi au hujui kama kuvaa hivyo wanaume tunashawishika haraka kumtongoza kuliko mwanamke ambae amejisitiri kuamsha hisia za mwanaume inakua kazi kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wanawaita kuku,
Maana kama mtu mzima unashawishika kwa kuona nguo ya kubana basi una shida.
 
Hahaa, kwani humu hawako wazee? Hawako wenye uzoefu na masuala ya ndoa? Usikariri mkuu ukiwa msomi haimaanishi huhutaji kujifunza tena. After all nimepata mawazo mazuri pengine hata hao wazee wako wasingeyatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tofauti Baina ya mzee wako na mwengine. Unapotafuta ushauri kwa wazee wako, aibu zenu zinabakia kwenye familia. Ushauri wa nje ni kwamba unasambaza aibu zako. Unajua maneno mengine kwa manamme anayejitambua ni aibu kuyasema hadharani?
 
Nashukuru kwa mawazo yako ila hili halina kificho wala si jambo baya. Kama lingehusu masuala ya ndani singeleta hoja hapa. Na sio kwamba sijawahi kutana na changamoto zozote la hasha naangalia jambo gani na nilipeleke wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua mtu wangu ameanza kuvaa nguo zinazobana (sketi) maungo. Binafsi sipendi kumuona akivaa hizo nguo na hata yeye wakati tunaanza hakuwa anapenda kuvaa nguo za aina hiyo.

Nilimuuliza anasema yeye anapenda kwa kuwa ni fashion, nifanyeje? Kuvaa nguo zinazoshika makalio ina maana gani?

Ila nishamwambia kuwa sitaki avae nguo hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo umemuambia aache na amakukatalia mkuu, nyie ndo ambao hamuoi bali mnaoana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all wanaume wako very insecure,kwani hamjui kuwa fashion ni pesa siku hizi?,hamjiamini kabisa, kama akivaa hivyo anajisikia vizuri, hilo ndio la msingi, kama anazidisha kipimo ndio uongee naye na siyo umpige marafuku sijui umpe onyo kama mwanao,
Kumbuka huyo anaezungumziwa Ni mke wake mkuu
Ikiwa mume hapendi mke anavovaa,,mke anavaa kwa ajili ya Nani???

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Wanawake wanapenda kuonyesha maungo yao, kuna mwanaume anamuwinda anampenda na jamaa anaonekana kufurahia aina hiyo ya mavazi.
Ndani ya miezi kazaa ataanza kutoka kwenye vishughuli hata visivyo mhusu baada ya muda ataliwa tena sana. Na nguo za namna hiyo zitakuwa nyingi kama si zote.
Sasa hivi ananguo za mjini na nguo za nyumbani au kanisani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida ya waafrica kufocus na yasiokuwa ya msingi, wanaume wanajikuta miunguYani ufukuze mke kisa kakataa kuvaa mabwanga?na sio kakusaliti,sio kaacha kukuheshimu,yaani nguo tuu?kweli kazi ipo.
Mnampoteza mwenzenu
Mkuu heshima kwanza kwa mume,alafu unafahamu maana mke kumtii mume???

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Kwani ,tangu lini mavazi yalishadetermine Tabia ya mtu,?au kubadilika kimavazi ni kubadilika kitabia??
Mimi mbona ninavyovaa sasa ni tofauti na zamani,while Tabia zangu ni zile zile?lifestyle inabadilika Bhana
Halafu,nani aliwapa jukumu wanaume la kutulazimisha Kuvaa namna fulani hatakama hatupendi?kama mtu amekuchoka atakucheat hata akiwa kajisitiri.
I think uko insecure tuu,jiamini tuu.
Ndege wa rangi moja huruka pamoja. Nawe ni changu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom