Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Subaru impreza na Toyota allion

Buti la mkoloni

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
310
834
Naombeni ushauri, nipo mbion kuagiza gari na hizo gari tajwa hapo juu ndio machaguo yangu, kikubwa ninachokipendea kutoka ktk hzo gari ni muonekano lakini sina budi kuchagua moja kati ya hizo hvyo naomba msaada wa ushauri wataalam based on technical problem experience.

NB: Ndio itakuwa mara yangu ya kwanza kumilki gari.
Screenshot_20191222-114211.jpg
Screenshot_20191222-114401.jpg
 
Ukichukulia point ya economy (maintenance cost na running cost) chukua allion. Ukitaka performance and style bila kuzingatia hizo gharam za hapo juu, chukua Subie. Angalia nafsi yako imekaa wapi.


Sent from my SM-A205F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom