Naomba ushauri kuhusu ajira kabla ya kuhitimu chuo (Digrii)

Midozenj01

JF-Expert Member
Sep 21, 2014
410
385
Hope mko poa wakuu.
Mie mdogo wenu nimekuja kuomba ushauri issue iko hivi...
Mwaka 2017 nimehitimu Diploma yangu Chuo cha Mbeya, mwaka huo huo nikaunga Digrii katika Chuo cha DIT ambapo soon mwezi ujao naenda kumalizia masomo. mwaka huu niliitwa interview kwenye Institution moja hivi ya private ipo mjini. Sasa issue ipo kwenye swala la kukatwa pesa na loan board...

Swali

1. Hivi hawa jamaa watanikata pesa yao ilhali sijamaliza masomo au watasubiri mpaka nimalize ndio waanze makato yao?

2.Pia ningependa kujua kikokotoo cha malipo ya jumapili na kikokotoo cha overtime coz natakiwa kufanya kazi from sa 1 hadi moja means 4 hours ni overtime?

3.Je ni makato yapi ambayo sitaweza kuepukana nayo? mfano Bodi, NSSF etc

Kwa maelezo yangu yaliyo rough naombeni mniwie radhi ila hope nitakuwa nimeeleweka.

Natanguliza shukrani za dhati na Ahsanteni sana Malegendary for your concern.
 
Aiseee degree gani uliyoanza 2017 alafu unamaliza mwezi ujao? Hivi kuna degree ya miaka 2 mkuu?
 
no cjamaanisha mwez ujao naend kuhitimu mkuu naenda kuanza semester ya kwanza mwaka wa 3... kumaliza mwakani mwez wa 7 iv inshaallah
 
Hope mko poa wakuu.
Mie mdogo wenu nimekuja kuomba ushauri issue iko hivi...
Mwaka 2017 nimehitimu Diploma yangu Chuo cha Mbeya, mwaka huo huo nikaunga Digrii katika Chuo cha DIT ambapo soon mwezi ujao naenda kumalizia masomo. mwaka huu niliitwa interview kwenye Institution moja hivi ya private ipo mjini. Sasa issue ipo kwenye swala la kukatwa pesa na loan board...

Swali

1. Hivi hawa jamaa watanikata pesa yao ilhali sijamaliza masomo au watasubiri mpaka nimalize ndio waanze makato yao?

2.Pia ningependa kujua kikokotoo cha malipo ya jumapili na kikokotoo cha overtime coz natakiwa kufanya kazi from sa 1 hadi moja means 4 hours ni overtime?

3.Je ni makato yapi ambayo sitaweza kuepukana nayo? mfano Bodi, NSSF etc

Kwa maelezo yangu yaliyo rough naombeni mniwie radhi ila hope nitakuwa nimeeleweka.

Natanguliza shukrani za dhati na Ahsanteni sana Malegendary for your concern.
Acha kuota ndoto za mchana,

Chuo hujamaliza unalilia makato,
Kwanza kazi ushapata?

Kijana tuliza akili maliza chuo, bado una semister mbili za moto, maswala ya nssf +loan board yapo tu,

Kwanza mpaka sasa mwez wa kumi na moja unaenda kusain hela ya bod, relax
 
Bro nimepata kazi na mwez ujao tarehe 1 naenda kusign mkataba...
unganisha dot utaielew post yangu mkuu...
Nataka nifanye kaz huku nasoma
 
Hope mko poa wakuu.
Mie mdogo wenu nimekuja kuomba ushauri issue iko hivi...
Mwaka 2017 nimehitimu Diploma yangu Chuo cha Mbeya, mwaka huo huo nikaunga Digrii katika Chuo cha DIT ambapo soon mwezi ujao naenda kumalizia masomo. mwaka huu niliitwa interview kwenye Institution moja hivi ya private ipo mjini. Sasa issue ipo kwenye swala la kukatwa pesa na loan board...

Swali

1. Hivi hawa jamaa watanikata pesa yao ilhali sijamaliza masomo au watasubiri mpaka nimalize ndio waanze makato yao?

2.Pia ningependa kujua kikokotoo cha malipo ya jumapili na kikokotoo cha overtime coz natakiwa kufanya kazi from sa 1 hadi moja means 4 hours ni overtime?

3.Je ni makato yapi ambayo sitaweza kuepukana nayo? mfano Bodi, NSSF etc

Kwa maelezo yangu yaliyo rough naombeni mniwie radhi ila hope nitakuwa nimeeleweka.

Natanguliza shukrani za dhati na Ahsanteni sana Malegendary for your concern.
nimesoma comment yako moja hapa umesema kuwa unataka kusoma huku unafanya kazi!! sio mbaya as long as unajiweza Ila kuna kale kamsemo kana sema mshika mawili moja humponyoka but hatukuombei mabaya.
kama ni kazi ambayo INA shift maana yake utakuwa unaingia jioni then unatoka let's say asubuh halafu hiyo asubuh inabidi ujiandaye uende chuoni hapa lazima utasinzia class na performance yako itashuka hakika na mwaka wa tatu huo unachosha sana....

kama utakuwa unafanya kaz kama over time ya masaa manne kila siku maana yake ajira yako inakuwa sio rasmi maana hutakuwa unalipwa kiwango kile sawa na utakavyofanya full time, so kuhusiana na maswala ya makato kisheria hicho kitu hakipo hata kama ningekuwa mm ningekataa maana pesa yenyewe take home itakuwa ya kawaida labda utuambie mshahara walio kutengea ni bei gani na masharti ya hiyo kazi na yapi na sidhani kama utaweza kusign kitu ambacho hujardhika nayo maana utakuwa unawafanyia kazi kama sadaka!! lazima uwe na self judgement lakini pia uwe strong katika maamuzi yako, tamaa usiendekeze maana mauti huwa yanafuata....so kabla ya kusign pitia mkataba vizur kama hujaelewa uombe ueleweshwe kama kunaseheehhemu hujaridhishwa wasilisha mapendekezo yako!! wish u gud like kijana
 
anyway... kuhusu performance ofcoz cna namna najua ita drop kiaina... ila kuna jamaa km wanne nipo nao chuo nime take reference kutoka kwao coz kazi wanazofanya same na mie kuwa ni saa 1 had saa 1....
HR alinipigia cm akanambia watanilipa 500K as basic pia nijifikirie cku nikienda tiongee vizuri na ajira itakuwa rasmi kabisa hyo nauhakika wa 100%... allowance nimeambiwa na wazoefu kuwa zoote zipo means (transport meals na accomodation).

issue nnazo jiuliza ni
1. Makato ya HESLB je yatahusika?? sababu bado nasoma.

2. Overtime ina calculatiwa vipi from basic..?

3. Apart from NSSF ni yapi makato mengine ambayo nitahusika nayo direct??

Ni hayo tuu mkuu... Hope to hear from you
 
hayo utayajua siku ukienda kusign mkataba.....hapa hakuna majibu ya direct au ungewauliza hao wanalipwaje.
 
Makato ya Heslb hayatahusika dogo kwani wao hawakukusomesha diploma, pia heslb watadeal na ww baada ya kumalzia degree. Kwa ushaur zaidi hii post yako ipeleke kule jukwaa la ajira na kazi ndo upata ufafanuzi mzuri
 
Asante san mkuu kwa ufafanuzi upon heslb... haya mengine hata nikienda kuyajulia huko sio mbaya
 
Back
Top Bottom