infinix2020
Member
- Dec 30, 2020
- 71
- 146
Kijana wangu amepewa suspension Shuleni kwa makosa mawili ambayo ni
1. Kukutwa na simu Shuleni
2. Aligoma kuleta mzazi (aliogopa kuniambia kama naitwa Shuleni japo alipewa barua aniletee)
3. Alimrushia ngumi Mwalimu wake baada ya jaribio la kumuadhibu kwa viboko.
Nilipokwenda Shuleni nikakuta ana kesi nyingine ya kumrushia ngumi mwalimu mwingine tena tukio alilifanya mwezi wa 4 mwaka huu, lakini walimu walimsamehe kwa kumpa adhabu tu.
Sasa naomba ushauri nifanyaje kijana wangu asamehewe ili aendelee na masomo maana yupo kidato cha Nne amebakiza mwezi mmoja ahitimu.