Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

Bidii, uaminifu na nidhamu.
Ukizingatia hayo, basi nenda ukasome kimoja kati ya hayo mawili ulio chagua
 
Wakuu Nilikuwa nataka kujifunza ufundi magari kitengo cha umeme wa magari nilikuwa Naomba mwenye garage anisaidie au kama Kuna MTU anafahamiana Na mwenye garage 0622706319
 
Wakuu Nilikuwa nataka kujifunza ufundi magari kitengo cha umeme wa magari nilikuwa Naomba mwenye garage anisaidie au kama Kuna MTU anafahamiana Na mwenye garage 0622706319
Nenda veta wapo vizuri sana, mtaani utapata shida watakutuma mpaka unakuja kuijua injini na mifumo kingine kama ya Umeme unaweza ukatumia zaidi ya miaka minne. Magereji mengi mafundi wanataka vibarua hawatakufundisha, labda itokeee gereji ya mjomba ako, na mishe nyingi za magari uwa ivyo
 
Back
Top Bottom