Naomba ushauri: Kati ya carina T.I na I.S.T. ni gari gani zuri zaidi?

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Wakuu nataka kuagiza gari kwakweli haya magari mawili nimeshindwa kuelewa lipi zuri
1. Kwa safari ndefu
2. Kudumu
3. Kutopitwa na wakati
4. Kuvumilia barabara zetu
5. Spare
6. Mafuta
7. Muonekano mzuri
N.k
Naomba ushauri wako
 
Back
Top Bottom