Naomba ushauri juu ya tatizo hili la la kujitapisha

Pole sana...! Mwili huwa unatunza kumbukumbu sana tokana na mazoea au hali flani ya mwili so kitendo cha wewe kujitapisha kwa muda mrefu ikawa kama Addiction na mwili ukazoea hivyo kuwa any induced au automatic movement ya mfumo wa chakula result yake ni kutapika.

Jaribu kunywa dawa ya kuzuia kutapika tafuta Vidonge vinaitwa METOCLOPRAMIDE 10MG kunywa kwa muda kama wa mwezi kidonge kimoja kabla ya kula alafu uangalie matokeo yake. Unakunywa kwa muda mrefu ili kuufanya mwili uadapt new condition.

Bulimia sio solution ya kupunguza uzito tumia njia ya Diet mchana kula kidogo na usiku kula matunda tu ukiweza epuka vyakula vya mafuta na fat nyingi kama Nyama nyekundu..peanut butter..CHIPS na vitu vya kukaanga kaanga ni sumu sana kwenye kuongeza uzito. Pole
 
Pole sana...! Mwili huwa unatunza kumbukumbu sana tokana na mazoea au hali flani ya mwili so kitendo cha wewe kujitapisha kwa muda mrefu ikawa kama Addiction na mwili ukazoea hivyo kuwa any induced au automatic movement ya mfumo wa chakula result yake ni kutapika. Jaribu kunywa dawa ya kuzuia kutapika tafuta Vidonge vinaitwa METOCLOPRAMIDE 10MG kunywa kwa muda kama wa mwezi kidonge kimoja kabla ya kula alafu uangalie matokeo yake. Unakunywa kwa muda mrefu ili kuufanya mwili uadapt new condition.

Bulimia sio solution ya kupunguza uzito tumia njia ya Diet mchana kula kidogo na usiku kula matunda tu ukiweza epuka vyakula vya mafuta na fat nyingi kama Nyama nyekundu..peanut butter..CHIPS na vitu vya kukaanga kaanga ni sumu sana kwenye kuongeza uzito. Pole
Asante...Sana Rikiboy.
 
Back
Top Bottom