Naomba ushauri juu ya Masters ya Development Studies

Bab fei

Member
Apr 16, 2020
25
25
Hello,

Mimi ni kijana mwenye umri 26. Muhitimu wa shahada ya ualimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2016.

Nategemea kujiunga mwaka huu shahada ya pili ya development studies sasa wakuu naomba ushauri wa masters ya development studies.

Zipi faida zake kwenye soko la ajira.

First degree GPA 3.9
 
GPA yako nzuri piga Masters unyuke GPA kuanzia 4.0 uje ufundishe vyuo vikuu, kutoka huko utapata channel nyingine na Mungu atakusaidia.
 
GPA yako nzuri piga Masters unyuke GPA kuanzia 4.0 uje ufundishe vyuo vikuu, kutoka huko utapata channel nyingine na Mungu atakusaidia
mkuu nashukuru sana. Je, mbali ya proqgramm hii. masters gani nyingne ni nzuri
 
Nakushauri kajiendeleze huko huko Education kuna course kma MAED, MEMA, MASP ni nzuri sana.

Ukihitimu zitakusaidia kukupa promotion kama unapractice Ualimu au any related post mf. exams officer popote (private/govt) kutokana na kuwa na Ubobevu kwenye taaluma ya Education.

Lakin pia itakusaidia kuomba ajira za Assitant Lecturer posts vyuoni ingawa kwa hyo GPA ya UG inaweza kuwa rahis kuajiriwa vyuo vya private kuliko vya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaajiriwa vizuri tu serikalini. Pitia waraka mpya wa TCU wameshusha vigezo kutoka 3.8 mpka 3.5 kutokana na uhaba wa walimu vyuoni. Umetolewa December 2019.

Labda useme na kigezo cha competition. Kuhusu Course yenye fursa kila Course ina fursa ni wewe tu na connection zako.
 
Upo vizuri. Ulishawahi kuwaza kusoma mambo ya media au television? Kwa sababu huko mbeleni utapata channel nyingi na uwanja mpana zaidi katika maisha.
 
Back
Top Bottom