Naomba ushauri juu ya mabadiliko ya hedhi kwa mwanamke

Barua njema

Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
19
Points
45

Barua njema

Member
Joined Jan 25, 2017
19 45
Naomba kuuliza...Mwanamke anapokua anapata MP ya kubadilika badilika inaashiria nini?
Mfano miezi mitatu mfululizo cycle yake iko 30days kwa oct,nov na dec 2016 na mwezi jan 2017 cycle yake ni 42days,Nainatoka mabonge mabonge ya blood na bleeding imekua too much more than miezi iliyopita.
Naomba ushauri wa kitaalamu juu ya hilo tatizo...
 
The Kop

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Messages
209
Points
225

The Kop

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2010
209 225
Hilo tatizo hata mke wangu lina mpata.. Huwa ana 28, mara ikawa 26, zikarudi 28..recently alikuwa na dalili za za pregnancy, bt after 32 anaona mp tena... Wataalam tafadhali
 
EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Messages
8,521
Points
2,000

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2015
8,521 2,000
Kumbuka kuna aina tatu za mzunguko wa hedhi kwa mwanamke, mzunguko wa hedhi ya mwenzi wako ni ya mzunguko mrefu unaochukua kati ya siku 30 hadi 35. Kumbuka pia wakati mwingine hali kama hiyo inaweza ikachagizwa na vitu kama mwenzi wako amekuwa akitumia vidonge vya uzazi wa mpango au akawa na 'limchango' linalokuwa linachelewesha au kuwahisha mzunguko.

Ngoja na wengine waje.
 
Barua njema

Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
19
Points
45

Barua njema

Member
Joined Jan 25, 2017
19 45
Kumbuka kuna aina tatu za mzunguko wa hedhi kwa mwanamke, mzunguko wa hedhi ya mwenzi wako ni ya mzunguko mrefu unaochukua kati ya siku 30 hadi 35. Kumbuka pia wakati mwingine hali kama hiyo inaweza ikachagizwa na vitu kama mwenzi wako amekuwa akitumia vidonge vya uzazi wa mpango au akawa na 'limchango' linalokuwa linachelewesha au kuwahisha mzunguko.

Ngoja na wengine waje.
Mke wangu hua hatumii vidonge vya uzazi wa mpango,ila LIMCHANGO ni neno jipya....naomba unieleweshe
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,253
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,253 2,000
Naomba kuuliza...Mwanamke anapokua anapata MP ya kubadilika badilika inaashiria nini?
Mfano miezi mitatu mfululizo cycle yake iko 30days kwa oct,nov na dec 2016 na mwezi jan 2017 cycle yake ni 42days,Nainatoka mabonge mabonge ya blood na bleeding imekua too much more than miezi iliyopita.
Naomba ushauri wa kitaalamu juu ya hilo tatizo...

UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE AU MWANAMME

Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.DALILI ZAKE • Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.
 • Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
 • Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.

Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-

 • Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
 • Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
 • Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
 • Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
 • Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
 • Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
 • Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
 • Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
 • Kupata uvimbe kwenye kizazi
 • Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

Madhara yake kwa mwanamke

 • Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
 • Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
 • Kuingia na kutoka kwa mimba
 • Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
 • Kuwa na uke mdogo sana

Madhara kwa Mwanaume

 • Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba
 • Kiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mno
 • Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
 • Kusimama na kusinyaa kwa uume

Tiba ya Chango la Uzazi

 • Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.
 • Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba.
 • Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.
 • Matumizi yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake.
 • Huchanganywa na viungo vya uzazi vya wanyama, ambavyo kazi yake ni kuondoa matatizo yaliyopo, kwenye kizazi cha manamke/mwanaume.
 • Wengi wana amini kuwa dawa za miti shamba hazina uwezo wa kutibu haya ni mawazo potofu, miti shamba ndiyo suluhisho la kila tatizo katika afya zetu.Mimi mwenyewe ni shuhuda nimelelewa katika miti shamba, ukipewa dawa ya mitishamba haijakusaidia ufahamu kuwa kiwango cha Dr/Mganga huyo hakijakomaa.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Asante sana Dr...Nimepata pa kuanzia...
 
Forum statistics

Threads 1,366,353
Members 521,454
Posts 33,367,707
Top