mayoscissors
JF-Expert Member
- Nov 24, 2009
- 975
- 471
Wana bodi,habari za miangaiko,nataka kuagiza tractor nje ya nchi,nimelipaza Ukraine kwa muuzaji Garkolena-Group,ukiangalia kwenye mtandao wanajihusisha na vyakula,Je nitumie njia gani kujua ni genuine seller maana eti unalipa 40% ya gharama na 60% baada ya kupokea mzigo,karibuni kwa ishauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app