Cephas Saphiel
Member
- May 25, 2009
- 32
- 16
Habari zenu wanajukwaa. Nipo Arusha lakini nimepata shamba kama hekari 30 huko morogoro mbele kidogo ya mji wa ifakara panaitwa Ihowanja. Napenda sana kulima kokoa ila sina hakika kama hali ya hewa ya Morogoro ni rafiki kwa kilimo cha kokoa. Ningependa kulijua hilo. Na pia naomba msaada kwa yafuatayo,
1. Je ni muda gani kokoa inachukua toka kupandwa mpaka kuvuna?
2. Maandalizi ya shamba yapo vipi?
3. Vipi kuhusu pembejeo?
4. Je naweza vipi kupata miche ya kokoa?
5. Vipi michumo yake kwa misimu ya mwaka?
6. Naweza kuuchuma mche wa kokoa kwa muda gan mpaka utakapo choka?
7. Vipi soko ni la uhakika?
8. Mabadiliko ya bei ni makubwa?
9. Ni michakato gani ya kufanya wakati wa kuindaa kokoa kuipeleka sokoni?
Kwa kunisaidia zaidi na ushauri tafadhali wasiliana nami kwa namba hii 0716798844,0756981717