Acha kaziMimi ni mwajiliwa wa taasisi fulani inayohusika na maswala ya ununuzi, nimeajiriwa tangu mwaka juzi. Tatizo nililonalo ni huyu boss wangu amekuwa ni mtu wa hasira sana ukikosea kidogo tu lazima achukue siku nzima kukusema na yupo radhi hata wekeend akupgie simu mtoke wote ila mkifika kwanye huo mtoko lazima akuanzishie mambo ya ofisini na kukusema tena kibaya zaidi ukimjibu ndo anazidisha mara ooh mpumbavu we hutumii akili yani inshort napata wakati mgumu natamani kuacha kazi ila nashindwa kwan familia inantegemea.
Nimejiuliza kwa watu wake wakaribu wanadai sio wewe tu ndivyo alivyo kwani ni mtu anayeamini yuko sahihi kwa kila kitu na pia jeuri ya fedha inampa kiburi
Tafadhari naomba ushauri wenu nifanyeje ili niweze kuendana na huyu boss wangu.
Namaanisha baadhi ya ndugu zake nao waliwahi kuniuliza unaishije na boss wako, ndo ikapelekea kumjua kiundaniWatu wake wa karibu wapi hao! Mie nadhani nyie na wewe ukiwemo mnae shinda nae nae ofisini ndio watu wa karibu.tena kwa miaka 3 uponaye ofisi moja kwa kila siku mpo nae masaa zaidi ya 9 huo ni ukaribu tosha
vumilia ipo siku mungu atampeleka kwengine nawe upate ahueniLakini hapa kama kuna fumbo fulani japo wengi hatujagundua vizuri.
nina uhakika au
nnauhakika na ww bogus pia
Okeyvumilia ipo siku mungu atampeleka kwengine nawe upate ahueni