Naomba ushauri ili nichague kati ya gari aina ya Ist au Premio kwa mama mtu mzima

Bonobo

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
364
665
Habari wakuu?

Nlikuwa nafikiria kumchukulia mama angu gar ya kuwa anatembelea hapa mjin, gar ambayo unywaji wake wa mafuta hautomtesa lakin pia yeye kama mama atafanana nayo.

Mimi kama mimi, naikubali sana Premio model ya kuanzia 2004 had 2006 ambayo imezoeleka kama premio new model, mapenz yangu kwa IST ni madogo mnoo ukilinganisha na premio...

Kwahyo nikawa nimepanga kuchukua premio kwa ajil ya mama angu, lakin baadhi ya watu wakasema kwa mama mtu mzima premio haitomfaa sana kimuonekano na tena hta kwenye mafuta premio itakunywa sana kuliko IST. Kauli hiz zimenibakisha na maswali mengi sana kichwan had nashindwa kuelewa...
Hivi ni kwel premio yenye 1498cc inakunywa sana kuliko Ist ya 1498cc?

Lakin pia naomba nipate ushaur kutoka kwenu, ipi ni gar ambayo itamfaa mama kwa shughuli za kwenda kutembelea ndugu na jamaa?

Naomba nipate mawazo kutoka kwenu.
Asanteni.
 
Yah... kuna maneno ya kuwa body weight ya premio inaweza ikasababisha kunywa sana kuliko ya Ist... japokuwa zote zina engine ya 1NZ.
huo ndio ukweli uzito was body kati ya ist na premio ni tofauti so unywaji was mafuta lazima uwe juu kidogo kwa premio japo zina changia engine moja. Kwa wanaopenda perfomance nzuri huwa wana chukua ile ya ZZT 240 ya CC 1790 au AZT 240 ya 1990. Kama unataka good fuel consuption na performance nzuri ist ya NZE CC 1490 nzuri kwa Mama. Good luck
 
Hapa ushauri unakutosha Bonobo. Premio ya 1.5l inayabugia zaidi kuliko ya 1.8l so hapo Bora uchukue hiyo IST ya 1.5l
huo ndio ukweli uzito was body kati ya ist na premio ni tofauti so unywaji was mafuta lazima uwe juu kidogo kwa premio japo zina changia engine moja. Kwa wanaopenda perfomance nzuri huwa wana chukua ile ya ZZT 240 ya CC 1790 au AZT 240 ya 1990. Kama unataka good fuel consuption na performance nzuri ist ya NZE CC 1490 nzuri kwa Mama. Good luck
 
huo ndio ukweli uzito was body kati ya ist na premio ni tofauti so unywaji was mafuta lazima uwe juu kidogo kwa premio japo zina changia engine moja. Kwa wanaopenda perfomance nzuri huwa wana chukua ile ya ZZT 240 ya CC 1790 au AZT 240 ya 1990. Kama unataka good fuel consuption na performance nzuri ist ya NZE CC 1490 nzuri kwa Mama. Good luck

Nashukuru sana mkuu kwa ushauri.
 
Mitandao ya kijamii inawafanya watu wawe wehu. Umeshindwa kabisa kuwauliza ndugu na jamaa akiwemo mhusika ukaona mahali sahihi pa kupata mawazo hayo ni hapa mjengoni.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom