Naomba ushauri,Housegirl kanilengesha mpaka Nimetembea naye

kwani ukikaa kimya utakufa,watu wamefanyamakubwa ya hayo nawekauka na maisha yanaendelea.
 
ah husigelo bwana wananguvu sana...achana na K jamani unaweza fanya mambo ajabu kama haya.
haya bwana sasa wee itabidi uwe mkweli tuu kwa mke wako. mwambie kuwa umemgegeda hous gelo wenu. huyo alishapata bichwa sasa na hapatakuwa na amani hapo home. mwambie mke umelala na huyo dada na wewe ulishaamua kumuachisha kazi...hapo hamna mazungumzo. its final.
 
ukimwambia mkeo tu imekula
kwako 100000% jaribu uone... Weka distance na huyo binti haiwezekani eti
house girl akupande kichwani bwana,. Tena ungekuwa karibu ngekuchapa
kibao alaah

Bint akikumbuka utamu atamfata tena baba akijifanya anamsimamo atatishiwa kusemewa kwa mkewe akija tahamaki bint ana mimba!! Bora amfukuze tu.
 
Kuna umuhimu wa kuwatengenezea jukwaa maalum litakalohusu mahouse girl tu,
kwa wiki hii habari za mahouse girl humu zimekua nyingi mno.
 
Hana ushahidi huyo asikutishe. make your decision as a man.

kweli hana ushahidi bt usirudie na usiwe na time nae mwambie akisema hana ushahidi hatoaminika na mama atamfukuzza tu, mwache aseme, ila na wewe ni kurudisha hadhi yako ya ubaba mfanye akae mbali nawewe, hapo unaogopa hana ushahidi ukiendelea nae atakurekod sauti na picha hapo ndio hata akikwambia umjengee utajenga, so acha uoga mwambie hana meno
 
Housegirl wetu kwa kweli alikuwa ni dada mzuri, kwa kazi, malezi ya watoto. Wote katika familia tulimpenda. Siku zinavyokwenda naona anazidisha upendo kwa familia yangu Majuzi kajilengesha hadi nikashindwa kujizuia, nikatembea naye. Nimejisikia vibaya sana, nimeamua kumshawishi mke wangu tumfukuze. Housegirl ameapa tukimfukuza atamweleza mke wangu kila kitu bora nimwache aendelee kuishi nasi. sina amani .Natamani kumweleza mke wangu ukweli. Natamani niikimbie nyumba Ninamwogopa sana mke wangu, namheshimu naona ataniona mtu wa ajabu kweli. sijawahi kufanya kitu cha namna hiyo. Maji yamefika shingoni. Naomba ushauri kwa wazoefu

Khaaaaaaaaaaaa! yaani unafanya halafu unakuja kutuomba msaada wa mawazo? kwa nn usije kabla? Alafu unasema unamuheshimu na kumuogopa mkeo! mm naona ni uongo hapo ni kumdharau kwa kiasi kikubwa mkeo.
 
Usijaribu hata kidogo kumwambia mkeo.

Hakuna haja yoyote ya kumfukuza huyo Housegirl kwa kuwa hakuna ubaya wowote aliyokutendea zaidi ameifurahisha nafsi yako wakati ina njaa.

Hatari ni kwamba kuna
uwezekano mkubwa sana wa kuendelea kufanya mapenzi naye.

Kwa sasa just leave the Nature to take place. Yaani tulia tu, mambo yenyewe yatakaa sawa tu.
 
Yale yale tu, watu wanatenda makosa na kuamua kumsingizia shetani. Muoe tu awe mkeo wa pili!
 
Kijana hapo umechemka! unatakiwa kushinda tamaa yako ya mwili! ina maana ukipita mitaa fulani wanakufunulia kabisa utashuka na kuwashughulikia??
Nakushauri, muondoe huyo HG wako, mwambie mkeo huyu binti anatabia si njema tumwondoe, kwa mwanamke yoyote mwelewa ukisema hivyo atakuelewa tu! ila ukimwambia ukweli hali ya ndoa haitakuwa mahali pazuri! hatakuelelewa kwani ina maana msichana yoyote akikutaka basi wewe unashindwa! Dhami hivyo itubu kwa Mungu tu kama alivyosema mmoja wa JF member! haina maana kwamba ukimwambia ndo umetubu! Muondoe binti tubu kwa MUngu na usirudie tena! weka mipaka na hg's kabisa ni sawa na mtoto wako! jizoeshe hg anapokuja akuite baba hiyo inaongeza umbali kuliko kukuita shemeji!
 
usimfukuze huyo binti,na wala usijidanganye kumwambia mkeo! wanawake hawana uvumilivu,wewe ni muoga tu ndio maana unapata hofu, endelea kumega huyo binti na atakua na upendo kwa watoto wako!
Ugolo wa bibi ndio msaada huu anaoutaka kweli?Amekwishasema hana amani na kukiri kujutia makosa yake hivyo kuendelea kumega ni kuzidisha tatizo.
 
Housegirl wetu kwa kweli alikuwa ni dada mzuri, kwa kazi, malezi ya watoto. Wote katika familia tulimpenda. Siku zinavyokwenda naona anazidisha upendo kwa familia yangu Majuzi kajilengesha hadi nikashindwa kujizuia, nikatembea naye. Nimejisikia vibaya sana, nimeamua kumshawishi mke wangu tumfukuze. Housegirl ameapa tukimfukuza atamweleza mke wangu kila kitu bora nimwache aendelee kuishi nasi. sina amani .Natamani kumweleza mke wangu ukweli. Natamani niikimbie nyumba Ninamwogopa sana mke wangu, namheshimu naona ataniona mtu wa ajabu kweli. sijawahi kufanya kitu cha namna hiyo. Maji yamefika shingoni. Naomba ushauri kwa wazoefu

Acha uzembe, kama hukuona aibu kumlala unaonaje aibu kumwambia mkeo ukweli. Which is better aambiwe na HG au na wewe mlemgwa.

Huna aibu hata kaidogo, kipi kilichokufanya ukalal nae?Tamaa, shetani au? Shame on you!
 
Housegirl wetu kwa kweli alikuwa ni dada mzuri, kwa kazi, malezi ya watoto. Wote katika familia tulimpenda. Siku zinavyokwenda naona anazidisha upendo kwa familia yangu Majuzi kajilengesha hadi nikashindwa kujizuia, nikatembea naye. Nimejisikia vibaya sana, nimeamua kumshawishi mke wangu tumfukuze. Housegirl ameapa tukimfukuza atamweleza mke wangu kila kitu bora nimwache aendelee kuishi nasi. sina amani .Natamani kumweleza mke wangu ukweli. Natamani niikimbie nyumba Ninamwogopa sana mke wangu, namheshimu naona ataniona mtu wa ajabu kweli. sijawahi kufanya kitu cha namna hiyo. Maji yamefika shingoni. Naomba ushauri kwa wazoefu
Kwanza yafaa ubadili kabisa mfumo wa maisha katika familia yako na mabadiliko haya yaambatane na wewe kubadilika kabisa na kuwa mtu ambaye si rahisi kushawishika tena kwa huyo bi dada.

Kwa kuwa umeshiriki tendo na huyo bi dada na inafahamika kabisa kwa mkeo suala la kinga halipo basi kuna mambo mawili ya kufanya,kwanza kapime ili ujue afya yako maana nina hakika kabisa kuwa hukutumia kinga wakati wa tendo la kujamiiana na huyo bi dada,pili yafaa ujue afya ya huyo bi dada maana inawezekana kabisa siku umeshiriki nae ndio siku ambayo amepata ujauzito ambao ni wa kwako.Kumfukuza huyo dada wa kazi kwa sasa si suluhisho maana ni mpaka uwe na sababu ya msingi ya kufanya hivyo na ukisema ulazimishe basi ndio siku mkeo atajua kila kitu na hutokuwa na nafasi ya kujitetea.

Kwa kuwa umekiri makosa basi tubu kwa Mungu wako na omba mwongozo mzuri wa kuyakabili yote unayopitia kwa sasa,sikulaumu kwa hili kwani natambua kuwa katika maisha tunayoishi kuna majaribu na kila mtu anapitia ya kwake kwani humu JF hakuna malaika ambaye hafanyi makosa yanayotokana na udhaifu wa kibinadamu hata kama utaona kuna watu wanakulaumu kwa uliyoyafanya.
 
Wanaume kama umbwa tu siku hizi mwanaume simpi mtoto wangu wa kike hata ampakate ***** zao utakuta keshamtia madole hawa hawana tofauti na jogoo
 
pole kaka, majaribu ni mengi lakini lazima ushindei!! mtoto unamleta kutoka kijijini kamaliza darasa la saba,anakulia hapo kwako unamuona hivi hivi, anavunja ungo, anapendeza hata kuliko mkeo lakini kula haramu!! shinda majaribu!!
 
Hahahahha!!!!! Subiria sasa akuambie ana ujauzito wako ndio utaelewa kama HG nae ni mkali ama la!!!!! unajua huyo HG atamtesa sana mkeo kwa vile keshakuvua nguo na wameshare na boss. Bora umfukuze tu au umwambie mkeo kwa upole mapema kabla hayajawa mengine hapo na utubu kweli usirudie ufuska wako huo.

unajua huyo binti anaweza akataka muwe wapenzi na utakapokataa ndio atakuonesha jinsi alivyo in reeality. Maisha ya wanao na mkeo huenda yakawa matatani, at her mercy cz she is now your wife's rival. Be careful, there are NO SECRETS IN THIS WORLD, TRUTH WILL OUT hata ufiche kwa muda mrefu.

Pole jinga wewe
 
Nkushauri mambo mawili,...
1.Koma kabisa na wala usithubutu kumwambia wife,..kiukweli ni unfair kufanya hivyo,..lakin ukimwambia yatazuka yasiyokuwemo.
2.Vuta subra alaf mshawishi wife mumpe likizo HG,..tafta wa kumshikia nafasi yake,..msifie kwa wife huyo HG mpya kama ni mchapa kazi(kuwa tekniko kidogo usiingie kichwakichwa),mwambie kama vipi yule apumzike tu moja kwa moja.
 
Nenda kituo cha polisi kilicho karibu kajielezee ukiambatana na house gal wako.

Sasa Polisi wakithbitisha haya yafuatayo rudi hapa tupe feedback

1.Kama huyo housegal ni above 18yrs
2.Kama hukumwingilia kwa nguvu bila ridhaa yake
3.Hajaambukizwa magonjwa ya zinaa likiwamo UKIMWI
4.Hana mimba

Ukifanikiwa kutupa feedback WEWE NA WIFE WAKO NENDA ANGAZA au CLINIC YOYOTE ILIYO KARIBU KAPIME KAMA ULIAMBUKIZWA STDs LIKIWEMO UKIMWI.

UKIPATA MATOKEO USISITE KUWEKA HAPA KWA USHAURI ZAIDI KAMA ULIVYOWEKA STORI YAKO NA HOUSE GAL WAKO
 
Back
Top Bottom