Naomba ushauri,Housegirl kanilengesha mpaka Nimetembea naye

UFASHE MLIBHONA

Senior Member
Nov 28, 2012
177
0
Housegirl wetu kwa kweli alikuwa ni dada mzuri, kwa kazi, malezi ya watoto. Wote katika familia tulimpenda. Siku zinavyokwenda naona anazidisha upendo kwa familia yangu Majuzi kajilengesha hadi nikashindwa kujizuia, nikatembea naye. Nimejisikia vibaya sana, nimeamua kumshawishi mke wangu tumfukuze. Housegirl ameapa tukimfukuza atamweleza mke wangu kila kitu bora nimwache aendelee kuishi nasi. sina amani .Natamani kumweleza mke wangu ukweli. Natamani niikimbie nyumba Ninamwogopa sana mke wangu, namheshimu naona ataniona mtu wa ajabu kweli. sijawahi kufanya kitu cha namna hiyo. Maji yamefika shingoni. Naomba ushauri kwa wazoefu
 

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,475
2,000
Pole sana ila nadhani ni nafas yako kuchukua muda wako kumweleza ukweli mkeo kwa7bu ukiendelea uficha hio dhambi itaendelea kukutesa sana na utakua huishi kwa amani kila umuonapo mkeo.
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,188
2,000
And then uko hapa kuusema ufuska wako na unataka ushauri
Unadiriki kusema unampenda mkeo na familia yako
je huo ndio upendo kwa familia yako na mke wako kuchepuka kwenda kulala na house gal na hapa unamsifia kuw ani mzuri
basi kujiona wewe ni rijali zaidi mwache mkeo umuoe huyo house gal ambaye umemuona ni mzuri kupita mkeo mpaka ukamvulia boxer yako ukatembea nae
Then unaomba ushauri wa nini hasa tukuambie uendelee kutembea nae au tukuambie umwambie mkeo au tukuambie umfukuze kazi amwambie mkeo
 

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
1,750
Unajua kuna kipindi inabidi tu MTU ucheke...manake nikiona the way ulivoandika stori yako..inaonyesha tangu mwanzo unakimbia LAWAMA..Kifupi ni kuwa wewe baba mwenye nyumba umemuacha mkeo na umeenda kumtongoza mtoto wa KAZI a.k.a BEKI TATU na umelala naye hii ndio inatakiwa kuwa habari na sio blah blah za sijui KAJILENGESHA...

Sasa sikia wewe UFASHE MLIBHONA umelikoroga lazima ulinywe..Huna haja ya kumfukuza huyo HG..MAADAM umerealize kuwa ni KOSA ..onyesha tu kwa nia ya dhati kuwa ulikosea ..MUITE huyo dogo mwambie yaliyopita yamepita...Sikushauri kumwambia MKEO kwa sasa..ila ITAKAPOBIDI baadaye huna budi..WEKA distance na huyo mtoto...Ifike wakati DHAMBI zengine tuzitubie kwa MUUMBA tu..haya mambo ya CONFESSION wakati mwingine yanazua jambo juu ya jambo

Nimemaliza!!
 
Last edited by a moderator:

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,689
2,000
Mibaba mingine bhana hovyo kabisa inakuaje unazoena na h/girl hadi unamlala?
 

maisara

Member
Sep 7, 2012
92
0
mh! Ah wanaume pasua kichwa kwl, et utaonwa mtu wa ajabu na huku mpaka sa hv ushakuwa wa ajabu, cha kufanya mfukuze akiendelea kuwepo utaendelea kumnjunju kila siku. Na utaipoteza furaha ya familia yako.
 

ugolo wa bibi

JF-Expert Member
Jul 16, 2012
1,305
1,250
usimfukuze huyo binti,na wala usijidanganye kumwambia mkeo! wanawake hawana uvumilivu,wewe ni muoga tu ndio maana unapata hofu, endelea kumega huyo binti na atakua na upendo kwa watoto wako!
 

gobore

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
717
195
We jinga kweli eti "wazoefu nisaidieni" umesikia hapa kijiwe cha watiaji ma Hausigeli? Mbona haukutuita wazoefu tukusaidie kukushikia miguu wakati unamtafuna? UNALO HILO.!! Real men don't fu*k their kids, na hausigeli ni mwanao tu yule.
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
55,911
2,000
Wanaume kama fisi tu, hadi mzoga anakula.....
Hapo utakuta wife mkali ila tu ukataka na kidude cha hg!!!!
Umfukuze wa nini, kakubaka?Toka wewe
 

Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,302
2,000
Wakati huu unapofeel guilt ndio hasa wakati wa kumfukuza, ukisubiri gari la kawaida likipita wewe na HG mtakuwa abiria wa kwanza kuingia...Usishangae baba mzima umeshaanza kuchimbwa biti na HG...Ukimwaga mboga nae anamwaga ugali.....Yaani tangu siku uliyomwonyesha nyeti zako ulijitia aibu za kuonwa uchi na mwanao wa kumzaa tena binti.Ila umeshafanya kosa dawa ni kuinusuru ndoa yako...Usilogwe kumwambia mkeo kwani kwa kufanya hivyo utalikoroga mazima, kama huwajui wanawake wanavyofunga vibwebwe jaribu urudi kuomba msaada mwingine.
 

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,622
2,000
ukimwambia mkeo tu imekula kwako 100000% jaribu uone... Weka distance na huyo binti haiwezekani eti house girl akupande kichwani bwana,. Tena ungekuwa karibu ngekuchapa kibao alaah
 

epson

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
577
500
kwamba hg kakulengesha haiingii akilini, alipata wapi confidencce hiyo na alikulengeshaje? mkuu kubali kwamba umefanya kosa, hii itakusaidia ku avoid next time. ukimfukuza utakuwa unatenda kosa jingine akibaki hapo sijui utaishi naye vipi. kweli uko kwenye wakati mgumu
 

cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,364
1,250
Amtaman umzin afu useme kakutega? Aaah hii mibaba ya ckuhizi inakera...inawaza mbunye tu
yaani ni balaa, ni ma-expert wa uvungu, yaani wasione chuchu za dada zimesimama!! laanakhum, mie siku nikigundua wangu katoka na hausgal, adhabu yao ni ku-do mbele yangu, kama hawafanyi hivyo nitahakikisha nampa adhabu moja mbayaaaaaaa huyo hubby, jamani punguzeni mihemuko! mtajat...o..m.....ba majini!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom