Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
nataka nifundishe mwaka mmoja tu then baada ya hapo niende kusoma university for degree programmes! ninatakiwa nifanyeje wana jf ili wasisimamishe mshahara?

ongea vizuri na afisa elimu wako,ikiwezekana mshike mkono!

Kihalali huruhusiwi mpaka afta 2 yrz!

Omba ruhusa.

nitamuanzaje huyu jamaa ili anielewe?
ruhusa wagumu kutoa! natafuta mbadala ambao utasaidia

ongea vizuri na afisa elimu wako,ikiwezekana mshike mkono!

Kihalali huruhusiwi mpaka afta 2 yrz!

watumie watu wa karibu nae,sitaki kuamini kama kwel wew ni mtz tena eductd afu unavunga hujui kutoa rushwa kwnye nchi hii inayoendeshwa kirushwa rushwa
Kawasemelee kwa Pinda coz ni juzi tu ametoka kuwaambia wawaruhusu watendaji wao waende kusoma. Aliyasema hayo wakati akifungua OUT pale Sumbawanga.

Aje kwangu anishike mkono, nitaugandisha hapo hapo mpaka Wadogo zake Hosea waje. Hakuna shortcut najua wewe ni Mwalimu, subiri upangiwe kituo, karipoti mapema, chukua hela ya kujikimu ya siku 7 zako, jaza mikataba ya ajira, subiri namba yako ya ajira (TSD), kaa mwaka mmoja kaulizie barua yako ya confirmation, malizia mwaka wa pili fuata taratibu za kawaida za kuomba ruhusa utapata tu bila shaka. Usithubutu kutoroka hata siku moja kwani utafunguliwa mashtaka na kusimamishiwa mshahara wako.

watumie watu wa karibu nae,sitaki kuamini kama kwel wew ni mtz tena eductd afu unavunga hujui kutoa rushwa kwnye nchi hii inayoendeshwa kirushwa rushwa
Halafu tukisimama hadhari tunajifanya kulaumu ufisadi, nina mashaka kizazi kijacho kitakuwa corrupt kuliko hiki cha sasa

hivi kwa nini mnahubiri rushwa? tusiundekeze mchezo huu jamani, tutsliua taifa