Naomba ushauri gari yangu inakula sana mafuta

sawa
Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.

Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.

Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
 
Duh kazi ipo asee yaani pesa niliyotumia mpaka sasa sidhani kama nitaendelea kuihangaikia
Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.

Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.

Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
 
Kwa uzoefu gari nyingi hasa ambazo sio 4wd,hasa gari ndogo zikishavuka mileage ya 150,000 huwa zinasumbua sasa,sijajua ya kwako ina shida gani maana maelezo yote yaliotelewa hapo juu ili kukusaidia yanagharimu hela nyingi na si lazima kila garama utakayoingia itakuwa tiba,kwahiyo mkuu kwa ushauri,kama hiyo gari umeipenda sana nunua engine nyingine or else iuze ili uongeze hela kidogo ununue nyingine...
 
Hiyo Ti inakula sana mafuta mi nayo lita 1 in atembea km12 kwa mjini lkn highway hadi km18.
Na enjoy nayo sana.
 
Kwa uzoefu gari nyingi hasa ambazo sio 4wd,hasa gari ndogo zikishavuka mileage ya 150,000 huwa zinasumbua sasa,sijajua ya kwako ina shida gani maana maelezo yote yaliotelewa hapo juu ili kukusaidia yanagharimu hela nyingi na si lazima kila garama utakayoingia itakuwa tiba,kwahiyo mkuu kwa ushauri,kama hiyo gari umeipenda sana nunua engine nyingine or else iuze ili uongeze hela kidogo ununue nyingine...
Huyo atakaemuuzia atatibuje hiyo shida? Tuwe na upendo Jaman
 
Yawezekana atakaye nunua akawa na uwezo zaidi yake wa kuweza kuingia hizo gharama za matengenezo.Kuna watu wana mahaba na magari mkuu...
 
Kwa uzoefu gari nyingi hasa ambazo sio 4wd,hasa gari ndogo zikishavuka mileage ya 150,000 huwa zinasumbua sasa,sijajua ya kwako ina shida gani maana maelezo yote yaliotelewa hapo juu ili kukusaidia yanagharimu hela nyingi na si lazima kila garama utakayoingia itakuwa tiba,kwahiyo mkuu kwa ushauri,kama hiyo gari umeipenda sana nunua engine nyingine or else iuze ili uongeze hela kidogo ununue nyingine...
dah naskitika sana
 
Back
Top Bottom