Itakua inatumia OBD1 hio.
oh ya zamani eeh. Maana kuanzia 98 nadhani ni OBD2
Umeona sina akili sio?
Nimekuona ni 'jiniasi'Umeona sina akili sio?
Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.
Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.
Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
Kama umebadilisha plugs na tatizo linaendelea badilisha plug wires na ka-test injectors kama zinafanya kazi.
Aisee! Hapo jamaa wamekufunga kamba, nakushauri uende kabadilishe fuel filter.
Kwa kuwa gari yako ni ya zamani nenda kafanye compression test kuangalia kama engine ina compression yakutosha. kama engine haiko sealed vizuri (kutokana na umri wake) itakuwa na compression ndogo na hivyo kuifanya ile mafuta mengi.
Mkuu umefanikiwa kutatua tatizo lako?
Yani ni ist 1290cc napata 8km kwa lita.
Bado naona inakula sana
Kwa uzoefu gari nyingi hasa ambazo sio 4wd,hasa gari ndogo zikishavuka mileage ya 150,000 huwa zinasumbua sasa,sijajua ya kwako ina shida gani maana maelezo yote yaliotelewa hapo juu ili kukusaidia yanagharimu hela nyingi na si lazima kila garama utakayoingia itakuwa tiba,kwahiyo mkuu kwa ushauri,kama hiyo gari umeipenda sana nunua engine nyingine or else iuze ili uongeze hela kidogo ununue nyingine...108360
Yaani wewe mambo ya serious unaleta utotoKama hutaki lile mafuta lilishe ugali
Huyo atakaemuuzia atatibuje hiyo shida? Tuwe na upendo JamanKwa uzoefu gari nyingi hasa ambazo sio 4wd,hasa gari ndogo zikishavuka mileage ya 150,000 huwa zinasumbua sasa,sijajua ya kwako ina shida gani maana maelezo yote yaliotelewa hapo juu ili kukusaidia yanagharimu hela nyingi na si lazima kila garama utakayoingia itakuwa tiba,kwahiyo mkuu kwa ushauri,kama hiyo gari umeipenda sana nunua engine nyingine or else iuze ili uongeze hela kidogo ununue nyingine...
Hata mimi nashangaa walivyokukamatiahii gari imenishangaza sana
Yawezekana atakaye nunua akawa na uwezo zaidi yake wa kuweza kuingia hizo gharama za matengenezo.Kuna watu wana mahaba na magari mkuu...Huyo atakaemuuzia atatibuje hiyo shida? Tuwe na upendo Jaman
Fanya tuu compression test, itatoa hitimisho.Duh kazi ipo asee yaani pesa niliyotumia mpaka sasa sidhani kama nitaendelea kuihangaikia
npe ist yako npigie kazi
dah naskitika sanaKwa uzoefu gari nyingi hasa ambazo sio 4wd,hasa gari ndogo zikishavuka mileage ya 150,000 huwa zinasumbua sasa,sijajua ya kwako ina shida gani maana maelezo yote yaliotelewa hapo juu ili kukusaidia yanagharimu hela nyingi na si lazima kila garama utakayoingia itakuwa tiba,kwahiyo mkuu kwa ushauri,kama hiyo gari umeipenda sana nunua engine nyingine or else iuze ili uongeze hela kidogo ununue nyingine...