Naomba Ushauri: gari ipi inafaa/imara kati ya Toyota Carina na Honda Fit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Ushauri: gari ipi inafaa/imara kati ya Toyota Carina na Honda Fit

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by markach, Apr 29, 2011.

 1. markach

  markach Senior Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF, naitaji kununua gari kwa matumizi ya shughuli zangu za binafsi. Nina chaguo mbili kati Carina au Honda Fit, ni ipi imara kwa upande wa kuvumilia mda mrefu bila matengenezo? najua kuna wengi wana uzoefu na haya magari, naombeni msaada wenu kabla ya kufanya maamuzi
   
 2. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,583
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  Chukua Toyata Carina kwa ajili ya avaibilty ya vipuri
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Honda ni pasua kichwa, hata ukivunjiwa taa ni ngumu kuipata madukani
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,113
  Likes Received: 5,565
  Trophy Points: 280
  Kama una shida na kwa babu ujanani tumia honda
  pressure yake lazima ukaponee na kikombe
   
 5. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu Honda bado itasumbua kwa masuala ya vipuri, kuhusu ubora sina hakika. Je katika utafiti wako kuna Carina ya cc 1500 au below??
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  Honda ni gari ngumu na haina spares fakemadukani ila zilizopo (Original) ni za gharama sana,
  lakini kama una uwezo basi ningekushauri ununue honda, japo spare ni za gharama lakini ukinunua huwa zinakaa na kwa sasa spare nyingi za hayo magari ni za second hand (brand new second hand), kama unaungaunga basi chukua Carina ina spare nyingi mno kila kona uwezi kulala njiani
   
 7. markach

  markach Senior Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Katika utafiti kuna carina za cc1800 na 1500. lkn mi na prefer ya 1500 cc kwa ajili ya fuel consumptions
   
 8. markach

  markach Senior Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu kwa ushauri wako. nitaufanyia kazi
   
Loading...