Naomba Ushauri: Eneo la Makumbusho linafaa kwa biashara gani?

lil pablo

Senior Member
Jan 6, 2018
108
51
Makumbusho Panafaa kwa ajili ya biashara gani kati ya hizi mbili:
- Duka la mahitaji muhimu
- Phone accessories Mchanganyiko +Ufuni simu

Au maji ya jumla?

Wazoefu wa biashara naomba Mchangie

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aiseee ilo eneo limejaa maduka ya accessories alaf ni kava tu duka kali linauza kava za simu a we people serious alaf kijana anaendesha gari kali nini anakaa nyumba ya 400k aisee kwa duka la kava za simu tu hebu watueleze kunani bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mimi nilishangaa labda kuna vitu vingine wanauza sisi hatujui. cover zenyewe zinahesabika then frame kali balaaa
 
Pale hata juice ya miwa, fresh juice za matunda mbalimbali lakini bei isiwe kama za kina Mack Juice zinatoka sana.
Maji ya kandoro baba.
 
Makumbusho Panafaa kwa ajili ya biashara gani kati ya hizi mbili:
- Duka la mahitaji muhimu
- Phone accessories Mchanganyiko +Ufuni simu

Au maji ya jumla?

Wazoefu wa biashara naomba Mchangie

Sent from my iPhone using JamiiForums

Kibanda cha kufanya massage na kujiuza mademu. Phone accessories kila mtu anauza pale kiasi kwamba hakuna biashara tena.
 
Aiseee ilo eneo limejaa maduka ya accessories alaf ni kava tu duka kali linauza kava za simu a we people serious alaf kijana anaendesha gari kali nini anakaa nyumba ya 400k aisee kwa duka la kava za simu tu hebu watueleze kunani bhana

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo la cabo bwana ni bangi tu zinamsumbua, we ulishakatazwa na Mzee wako wacha kupuliza mjani umekataa, unaona sasa madhara yake? Usipende kukariri maisha ya watu, pale Makumbusho biashara ya phone accessories haitoki kama zamani maana kila kijana asiye na kazi anauza phone accessories na kibaya zaidi maduka yote yanafanana bidhaa na kufuatana kama maduka ya nguo pale Sinza. Yaani hawajuwi biashara, wanaigana tu.
 
nimeshindwa kumaliza huu Uzi maana nimejikuta nacheka sanaa kama mazuri vilee😂😂😂 nitarudi kumalizia😂😂 pole sanaa kijana I feel you
 
Aiseee ilo eneo limejaa maduka ya accessories alaf ni kava tu duka kali linauza kava za simu a we people serious alaf kijana anaendesha gari kali nini anakaa nyumba ya 400k aisee kwa duka la kava za simu tu hebu watueleze kunani bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe.
Watu wana biashara zao mjini hapa.
Wanampigia makonda simu moja kwa moja mzigo unatoka Pakistani
 
Duka la mahitaji muhimu linafaa...

Usiniulize mahitaji muhimu kama yapi, sababu wewe mwenyewe hujayataja...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom