jwhizzy
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 679
- 389
Habari wana members wa Jf, mnapo jumatatu mpenzi wangu alijifungua mtoto wa kike, ila tangia juzi anasema ana harisha pia tumbo lake lina unguruma pindi akimaliza kunyonya.
Kwa sababu nipo mbali na yeye hivyo nilimshauri ampe dawa ambayo niliambiwa ni nzuri kwa mtoto hivyo jana alimpa ila sasa naona bado anaharisha tangia na tumbo linaunguruma.
Naombeni msaada kwa walio na uwelewa na hili tatizo.