Naomba usahauri wa masomo ya kusoma kwa BAED

sadati audax

Member
Aug 24, 2017
17
2
Jamani wanaJF.
Naombeni ushauri mimi mwaka wa kwanza, naombeni mnishauri kwa mchepuo wa HGL. Nisome vipindi gani chuo maana wanasema geography na language ni ngumu.
 
Acha kuzingua dogo chuo ugumu wa somo unategemeana na lecture mwenyewe.

Nakumbuka chuoni kwetu watu wa Physics walikuwa wanakula bata wa Geography wanateseka.
 
Duu si kwa uvivu huu, Yan hata chuo hujafka ushaanza kusanda? Tena masomo yenyewe hayo, Zile conference za September na october watakupa u CR
 
Combi ni HGL sasa unaogopa nini na ndo masomo uliyofaulu na kuchaguliwa nayo chuo. Ukiona Geography na Language ngumu bac soma Political science na Historia. Ndo alternative yake
 
Jamani wana jf..naombeni ushauli mm mwaka wa kwanza,.naombeni mnishauli kwa mchepuo wa HGL..nisome vipnd gani chuo maana wanasema geography na language ni ngumu..
Jua mtaan walimu wa arts hawana ajira tokea 2015... Kuwa makini
Na ujiandae mapema!
 
Back
Top Bottom