Naomba updates za Interview ya TANESCO

Mi nashangaaa sana tanesco aseee... Watu nasikia wameanza kazi siku nyingi tu...hii nchi sijui ya namna gani.
 
Napenda kuleta uzi huu Jf kwa Wapendwa Mlioomba Kazi Tanesco.
Kwa anaejua anaweza kunisaidia. Labda kama kuna yeyote anaejua au ameitwa Interview Tanesco au kama wametoa Majina ya waliochaguliwa TUFAHAMISHANE JAMANI,
Tucje kusubir kuitwa kumbe wengne washaanza kazi kabisa.

Asanteni sana
una elimu ya kiwango gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi wale waliopiga oral pale ubungo post ya generation engineer washaitwa kazini? maana ilifanyika tokea 24 july mpaka leo kimya.
 
Back
Top Bottom