Level gani?mm niliomba ligh current daaaahhhh nimekosa
NTA LEVEL 8Level gani?
Ndio Tanzania yetu hiyo....sijajua kama Sumatra nao wameshaita watu kazini au vipiMi nashangaaa sana tanesco aseee... Watu nasikia wameanza kazi siku nyingi tu...hii nchi sijui ya namna gani.
una elimu ya kiwango gani?Napenda kuleta uzi huu Jf kwa Wapendwa Mlioomba Kazi Tanesco.
Kwa anaejua anaweza kunisaidia. Labda kama kuna yeyote anaejua au ameitwa Interview Tanesco au kama wametoa Majina ya waliochaguliwa TUFAHAMISHANE JAMANI,
Tucje kusubir kuitwa kumbe wengne washaanza kazi kabisa.
Asanteni sana
Uliomba wapi Rafiki yangu,mm niliomba ligh current daaaahhhh nimekosa
Wa Dar Position ya System Technician cum Administrator nao tayari?