Hii post waliomba watu wengi sana wasio na sifa, hata waliopita jkt kwa mujibu waliomba, sijui kama wewe ulikuwa na vigezo.Vip kuhusu wale walioomba SECURITY OFFICER wameitwa?
Hii post waliomba watu wengi sana wasio na sifa, hata waliopita jkt kwa mujibu waliomba, sijui kama wewe ulikuwa na vigezo.Vip kuhusu wale walioomba SECURITY OFFICER wameitwa?
Vigezo nlkua navyo vyote kabsaHii post waliomba watu wengi sana wasio na sifa, hata waliopita jkt kwa mujibu waliomba, sijui kama wewe ulikuwa na vigezo.
Ila bado awaja ita ehVigezo nlkua navyo vyote kabsa
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hawa TANESCO kwa anaejua naomba atujulishe wanatumia vigezo gani kuita watu maana nashangaa wanaoitwa ni wale wale kila interview. Sifa wanazotumia ni zipi jamani upande wa electrical?Juzi tarehe 15 kuna jamaa yangu alifanya written interview post ya generation engineer ubungo gas plant
Post sent using JamiiForums mobile app
Simiyu naona kimyaa sijui ndo wamechomeka waoTujuzane kwa walioaplly simiyu, geita na kigoma kwa upande wa stores
Kama vigezo walivyotoa ulikuwa navyo vyote watakuita. Lakini sio JKT kwa mujibu.Vigezo nlkua navyo vyote kabsa
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
HQ bdo? Jaman maana ndo week end hiiKama vigezo walivyotoa ulikuwa navyo vyote watakuita. Lakini sio JKT kwa mujibu.
Mkuu wewe ni member PSPTB. Kama sio sahau kuitwaTujuzane kwa walioaplly simiyu, geita na kigoma kwa upande wa stores
Mkuu ukihama shirika ndo huwa unakata Network na watu? Au unaondokaga kazini kwa vita? Wengine Mungu ametupa hekima, hata tunapoondoka muajiri anashangaa inakuwaje na kuuliza maswali mengi. Ina maana watu wanapotoa mawazo humu JF kwenye mpira & Siasa, jamii ina maana wao wanakuwa wanafanya kazi za Siasa na Michezo?? Humu kuna watu tofauti wenye taarifa mbalimbali. Anyway yote ni mema I have been around lake zone almost 2 years and half, nimekuwa na watu tofauti, naelewa situation ya Zone hii interms of man-power for now, sasa shida yangu ilikuwa wapi mtumish?
Labda uko humu kufuatilia taarifa za watu, na kwa sababu siombi kitu kutoka kwako nakupa kama ifuatavyo; inshort ni kwamba kesho will travel,nimeshakabidhi kazi tayari, Keshokutwa (tarehe 7 sikukuu) nitafanya vipimo vya afya(nliambiwa niende na cheti cha daktari, nikapewa na vipimo), and Monday 10th nitakuwa naanza mkuu. Nadhani hapo nimekusaidia mtumish wa Mungu.
Ndugu habari,naomba kukutaarifu kwamba ktk maombi yako ya ICt Techncian Tanesco Kihansi umechaguliwa kuingia katika hatua ya usaili utakaofanyika siku ya Ijumaa tarehe 28/7/2017 katika kituo cha kihansi. Usaili utaanza saa mbili kamili asubuhi.Kituo cha kihansi kipo pembeni kidogo mwa mji wa Mlimba hivyo,wasailiwa wote tunawaomba wafike na kupata huduma ya malazi kwa kujitegemea ktk mji wa Mlimba na utatoa taarifa utakapopata malazi na shirika litatoa huduma ya usafiri kutoka Mlimba kwenda kwenye usaili Kihansi na kuwarudisha Mlimba.Wale wa Kihansi wamepigiwa simu jioni ya leo kwa Kara ya ICT.
Kitengo gani HQ wameita.Habari wakuu....hivi kwa ambao wameshafanya interview HQ ningependa kufahamu kama written na oral zitafanyika siku moja maana nimeshapata call yao lkn nikasahau kuuliza hilo
Yes or No
Kitengo gani mkuuHabari wakuu....hivi kwa ambao wameshafanya interview HQ ningependa kufahamu kama written na oral zitafanyika siku moja maana nimeshapata call yao lkn nikasahau kuuliza hilo
Yes or No